Kimbia zinaa uiokowe nafsi yako isije kuangamia kwa dhambi kama Yusufu alikataa kuzini na mwanamke mwenye uzuri usio na kifani tena ni mke wa mfalme wewe ni mke nani hata ushindwe
Achana nae. Kama una mke au mchumba,basi mtendee haki. Mpe hii taarifa. Akikubali, nenda kalale na huyo mwanamke mpumbavu,tena mke wa mchungaj. Nataman nitukane. ..dah. Ku,.. Kumbavu.
Mke wa mtu sumu. Yaliyopita si ndwele ganga yajayo. Achana na mambo anayoyataka. kama unaweza biki kuwa marafiki tu kama huwezi achana nae kabisa. Sasa hivi huwezi ona madhara yake lakini pale utakapofumaniwa ndiyo utajuta, mapenzi hayana siri wala kificho.
Kutembea na mke wa mtu ni laana isiyosameheka, kuwa mkweli na umwambie yeye ni mke wa mtu akupe amani, wala usitumie uongo wowote mwingine ooh eti nina ukimwi.
Huo sasa ubabe usio na tija ungemegewa sasa sijui ingekuwaje hebu tumia busara kama maandiko yasemavo, wacha kujipalia makaa ya moto ukizingatia wewe ni kiungo cha Allah!
hapana kaka unajua upelelez unabidi uwe mpole kidogo kwa sabab mim namjua ila sikuamin nilitaka kuona kweli ni mke wa mchungaji? ndio mana nilienda kanisan siyo nyumbani kiukweli kama ni kosa la kukubali nimelifanya nakir hilo