jaman hii sio hadith ni ukweli yamenikuta. huyu mdada sasa mama nitaeleza historia yake ili muelewe. mim na yey tulisoma wote primary tukiwa darasa la sita nikamtongoza akanikatalia mim nikawa mpole, wakati wetu darasa la sita miaka 18, baada ya muda akapata mimba na shule akaacha akataka nimuoe mim nikamkataa kwa siri bila kumwambia basi shule ilipoisha tulitawanyika na mihangaiko ya maisha hatujakutana tena mim nikaenda sekondar mpaka elim ya juu. hapa majuz akapata namba yangu akanipigia akasema ameolewa yuko arusha nikampongeza akasema njoo nyumbani alafu akasema useme mimi ni kaka yake kwa mumewe siku nyingine akapiga simu tukaongea na mumewe safi tu ila siku moja mwaka juz nilikuwa arusha kikaz siku ya krismas nilienda kanisan kwao kusali basi tukasalimiana pale mumewe akijua mim ni kaka yake basi tukaagana. tatizo likaja mumewe alisafir akapiga simu usk sanaakanitamkia kabisa anataka nifanye mpango nionane naye mapenz yake kwangu bado yanamsumbua angalau tufanye mapenz. mim nimekataa ila anasumbua sana
nifanyaje yey ameolewa na mtu kabila lingine ndio mana anasema niseme mimi ni kaka yake story ni ndefu ila nimefupisha wana kanisa nzur sana kwenda nyumban niligoma kabisa kwa sabab hiyo. tusaidiane hali tete.
Kanisa gani hapa Arusha? Kumbe ni wewe, sasa nimeshakujua! Ama lwako ama lwangu!
jaman hii sio hadith ni ukweli yamenikuta. huyu mdada sasa mama nitaeleza historia yake ili muelewe. mim na yey tulisoma wote primary tukiwa darasa la sita nikamtongoza akanikatalia mim nikawa mpole, wakati wetu darasa la sita miaka 18, baada ya muda akapata mimba na shule akaacha akataka nimuoe mim nikamkataa kwa siri bila kumwambia basi shule ilipoisha tulitawanyika na mihangaiko ya maisha hatujakutana tena mim nikaenda sekondar mpaka elim ya juu. hapa majuz akapata namba yangu akanipigia akasema ameolewa yuko arusha nikampongeza akasema njoo nyumbani alafu akasema useme mimi ni kaka yake kwa mumewe siku nyingine akapiga simu tukaongea na mumewe safi tu ila siku moja mwaka juz nilikuwa arusha kikaz siku ya krismas nilienda kanisan kwao kusali basi tukasalimiana pale mumewe akijua mim ni kaka yake basi tukaagana. tatizo likaja mumewe alisafir akapiga simu usk sanaakanitamkia kabisa anataka nifanye mpango nionane naye mapenz yake kwangu bado yanamsumbua angalau tufanye mapenz. mim nimekataa ila anasumbua sana
Kwalipi na keshamtosa mkeo, kaa mjenge mkeo kiimani aondokewe na pepo chafu la uzinzi