Mke wa m-China

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha hapo eti wananiona na dushe kubwa wakati bongo wsnaona na kibamia.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Vipi kuhusu utunduuu??? Utamu je???
Watamu sana mkuu. Yaani ni watamu balaa sana.
 
Ananifundisha karate na kungfu, u-kibonge unakwisha.
 
Ananifundisha karate na kungfu, u-kibonge unakwisha.
Halafu hujasema rangi yako kama ni una weusi kama wa kwa kina salva kiir wenyewe mnauita black butyi ama chocolate color wenyewe mnaita maji ya kunde au weupe mbabuo n.k.....sema ndio tukupe uchambuzi mzuri. Na je nywele unasuka twende kilioni, mabutu, Rasta au unawekaga yale maywele yao
 
hivi mkuu unatania ama? ujue nimejiuliza sijapata majibu, yani na uelewa wa mambo ulokuepo nao unataka kuolewa na mchina..................
 
Vichina vinapenda ngono utatiwa wewe mpk ukome kuchangamkia iyo fursa
 
Vipi yule anaepamba warembo ndo ushapiga chini?, Nilikuwa nakuona maji marefu eti.
 
Nywele ni kama Lupita rangi kidogo nimetoka kwa jongoo lakini sijafika maji ya kunde
 
hivi mkuu unatania ama? ujue nimejiuliza sijapata majibu, yani na uelewa wa mambo ulokuepo nao unataka kuolewa na mchina..................
Mkuu wa bongo mnachagua sana ngoja niende Beijing
 
Mkuu niwe mkweli niko nusu ki-maslahi nusu mapenzi
hahahaha msema kweli ni mpenz wa Mungu...

hayo maslahi nayo magumu, wale hawapendi kama sisi tuseme utamkoleza ajisahau.

utaenda kuzalishwa watoto feki tu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Hatimaye swahiba wangu umekamatika.... Loooo

Kwahiyo uko tayari kusacrifice mapenzi kwa gharama ya maslahi, au utakuwa unacheat na kina sisi ambao kuwatafunia ngozi nyeupe ndio kipaumbele chetu?
 
Hatimaye swahiba wangu umekamatika.... Loooo

Kwahiyo uko tayari kusacrifice mapenzi kwa gharama ya maslahi, au utakuwa unacheat na kina sisi ambao kuwatafunia ngozi nyeupe ndio kipaumbele chetu?
Swahiba number yangu usiifute inawezekana tukahitajiana siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…