Mke wa kuvusha

nectar

Member
Dec 22, 2016
8
9
Naomba msaada wa kujua ukichukua mke wa mtu ukaishi nae sababu ya mimba akazaa baada ya miaka 2 mkataka kuachana je kuna mali zozote mnagawana?
 
Yaani unataka msaada halafu mwanamke mwenyewe ni mke wa mtu?? Halafu umempa na mimba juu! Hapohapo baada ya miaka miwili unataka kumuacha! Tena bado akili yako inataka umuache hivihivi bila kumpa chochote.

Watu kama nyie hata mkigeuzwa bucha ni sawa tu
 
Kwanza jiandae kushtakiwa na mwenye mke na fidia utamlipa.

Sheria haitambui ndoa haramu.
 
Yaani unataka msaada halafu mwanamke mwenyewe ni mke wa mtu?? Halafu umempa na mimba juu! Hapohapo baada ya miaka miwili unataka kumuacha! Tena bado akili yako inataka umuache hivihivi bila kumpa chochote.

Watu kama nyie hata mkigeuzwa bucha ni sawa tu
, mkuu na-imagine ukitamka haya maneno na hiyo sura kwenye avatar yako. Dah jamaa hayupo serious kabisa
 
Back
Top Bottom