Mke wa kuoa anatakiwa 100%

Hahahaha na rafiki yangu mzuri huyo mmarangu , ila sasa kukutumia picha yake won't be fair nitumie no nitampatia kama hutojali.
 
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.

Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote, awe tu anajitambua hata kama ana tabia mbaya au ni single mother au ni divorced awe tayari kubadilika hela ninayo ya kutosha.

Uje inbox na wasifu wako na picha kuthibitisha kama kweli wewe ni mwanamke atakaewahi kama ana sifa zinazotakiwa nitamuoa siku si nyingi, muhimu HIV status uwe negative.
 
Aisee

Upo wap
 
Bado tu hawajaja? Basi ngoja nije mie fastaa tutafune pesa za ujerumani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom