Kha!!! Huo mwili huhitaji kuwa na yale mafuta yale..... Kama Nyoka akiingia shimoni. Dah kumbe Sabato imeanza, ngoja nisiharibu Sabato yangu
![]()
Hawa baadhi ya wanawake wanakuwa na % flani ya uchizi.
Ukiowa maarufu, mke anakuwa si wako peke yako!
Kama sanamu vile!Ila Kanye mwenyewe hana shida.....anaona poa tu na tutarajie picha zaidi ya hii.....
kazi ipo .......... . ........