Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo akikubali 'kukufulia' utataka pia 'akuvulie'!Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
duh kapange mkuu acha hayo mamboJamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndiyo jibu bora kuliko yote.Mkomoe kwa kununua washing machine 🙂
Maji bafuni anakupelekea huko uswazi kwenu? Au anakufungulia Bomba la mvua ili uoge?Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiufupi hivi ndio unavyoonekana:View attachment 1011153
Halafu unataka ufuliwe? Jiongeze tu ujue nini chakufanya
Hapa unakosea bibie...ndiyo hapaswi kumfulia shemejiye...lakini mumewe ni lazima amfulie...maana hata vitabu vitakatifu vimesema wanawake ni wasaidizi wetu.....Hapaswi kumfulia hata kaka'ko aliyemuoa wacha wewe. Kwani kwenu huwa mnaoa ili mwanamke awe mtumwa wenu?
Kazana.