We punguani kweli kweli mke wa kaka'ko akufulie? Hapaswi kumfulia hata kaka'ko aliyemuoa wacha wewe. Kwani kwenu huwa mnaoa ili mwanamke awe mtumwa wenu?
We punguani kweli kweli mke wa kaka'ko akufulie? Hapaswi kumfulia hata kaka'ko aliyemuoa wacha wewe. Kwani kwenu huwa mnaoa ili mwanamke awe mtumwa wenu?
Zwazwa mkubwa ww tena mm ningekuwa kaka yako na apo kwangu ningekufukuza kabisa mbwa ww mke wa kaka yako akufulie ww kama nani kenge maji ww wakati utafute pesa utoke kwa watu unawanyima nafasi unaanza waongezea matatizo na inaweza kuwa umesema hadi kwa mama yako kumchomgea maneno yakiongo ili aanze kuchukiwa kwa wakwe
Kabla kaka yako hajaoa ulikua ukifuliwa nguo na nani hadi leo hii ulalamike? Kwahio kaka yako alimuoa huyo binti ili awe house girl wenu wa familia? huna huruma ww, hebu na ww msaidie shemeji yako kuosha vyombo.