Mke wa kaka anataka tuendelee

Kipunga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2021
Posts
265
Reaction score
599
Habari wana Jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada

Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini

Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa

Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.

Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.

Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni

Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.

Sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
 
Endelea kumtafuna mkuu ,

Shemeji yako atabaki kwenye mikono salama.

Kuliko akutane na wahuni ,huko mitaani.
 
"What goes around comes around"
Achana nae mkuu... Assume it was a mistake. Usitake kurudia tena na umpige bit huyo shemu ako aache ujinga.
Asante kwa ushauri
 
Ila Wambulu
mna nini mama alishawahi kunambia ukioa Mbulu umeolea Wilaya na Kata yako nzima yan mtashare kama vile Shilingi au Public Toilet.Anyway I trough Vavarai Piga Mkunguyenge huyo shemeji yko mpka Anyooke Mazaa Fanta
 
Kaka yako ni member hapa hivyo kaa chonjo.
 
Wewe wa Ipole si ndio?
 
Juzi kulikuwa na uzi wa wahaya. Leo wambulu. Ngoja tusubiri mapovu ya wambulu na wairaq. Ila hao wambulu na wajua aiseeee mbanga zile zio mchezo. Jirani zao wanyaturu nao hivo hivo tuu
 
Mpaka hapa kaka yako ameshajua umemla mke wake usifikiri yeye haingii humu. Ni swala la kuunganisha dots tu anajua hii stori inamhusu. Jiandae kwa yajayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…