Mke wa kaka ananitia majaribuni

Hivi kama wewe ni mtafutaji unakaaje nyumbani kwa mtu week zaidi ya moja?.
Likizo yangu ni fupi tu mkuu tena siku hazizidi cku kumi kaka yeye ndo aloniita wala sina tabia ya kwenda kwake
 
Afu unaju kk yko nipo kwa hii nyuzi nakufuatilia tu sema hujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekushangaa kweli, yani uweze kubeba dunia halafu ushindwe nini cha kufanya kwenye hyo scenario yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…