Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,859
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyomstua Mwenyekiti wa bunge Andrew Chenge.Mbunge wa CHADEMA ambaye ni mke wa Kafulila.
Ameibua sakata la Escrow kwa kumuliza Chenge" Inakuwaje TAKUKURU wamesisitiza kuwashughulikia wezi wa mali za umma na wale wa makontena lakini wezi wa Escrow hawajatajwa?
Swali hilo lilizua minong'ono baina ya wabunge huku Chenge akishikwa na kigugumizi kutoa majibu na kusema swala hilo sio la mwongozo.
My take: Wale mafisadi wa Escrow kama walidhani Kafulila kutokuwepo bungeni ni njia ya kuzima Escrow wamefeli mtihani.Walisahau Mke wa Kafulila ni mbunge na data zote anazo.