Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Alikuwa amexhuchumaa hakuwa anafanya chochoteAlikua anafanya nini? Na inakuaje mpaka geti ifunguke yeye asishituke na kupandisha sketi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu skirt kaikunjia kiunoniUnafaa kuwa rapper! Hauna kituo yaani!
Halafu sioni swali naona jawabu! Unataka usaidiwe swali tena? Haya: (?) + (?) x (?)=0
Mkuu niliangalia mara moja labda noxhomoe macho uangaliepicha please
Nami nilihisi Hilo,mtu kaxhuchumaa skirt ipo kiunoni kaikunjia kufuli linaonekanaWengine wachawi
Wakuu habari,siku tatu zilizopita nimekutana na kimbwanga Cha maisha,hii imetokea baada ya Mimi kutoka nje kwenda dukani wakati natoka nje Kuna mwanamama alikuwa nje akizungumza na mwenzake wakati narudi nafungua geti yule mama jirani angu nakuta amechuchumaa uelekeo mlangoni umbali wa mita 25 huku kapandisha juu skirt mapaja yapo wazi kiasi nilistuka baada ya kuona kufuli,nilihisi vibaya kwani hata kuangalia niliangalia mara moja nikageuza macho na kuingia ndani,Yule mama leo siku ya tatu nikiwepo home hatoki nje ,naombeni ushauri Nini maana yake
Sio chooni,labda namba tatu but hawezi kufanya hivo Sabu Ni mtu mzima hata mmewe alikuwa ndani kwa kweli nilishangaa mnoAlikuwa anafanya nn kati ya mambo haya:-
1. Alikuwa anakojoa
2. Alikuwa anakunya
3. Alikuwa anapunga upepo
4. Hakuna jibu sahihi kati ya hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio chooni,labda namba tatu but hawezi kufanya hivo Sabu Ni mtu mzima hata mmewe alikuwa ndani kwa kweli nilishangaa mno
Mkuu hata kidogo ana watoto visu lakini sijawahi gusa hata ncha naheshimu image angu kozi nikija oa mke wangu asisumbuliwe kwamba amekula makombo yaoPole sana.
Angalia huenda taarifa zako mume wake anazo na huenda ameagizwa afanye hivo ili ukiingia kingi tu ushughulikiwe na mume wake.
Kumbuka kunawa mikono yako vizuri kwa maji tiririka bila kusahau kuvaa barakoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaa kuwa rapper! Hauna kituo yaani!
Halafu sioni swali naona jawabu! Unataka usaidiwe swali tena? Haya: (?) + (?) x (?)=0
[/QU🤣🤣🤣,free style,kituo na hii korona wakati vituoni Hakuna sanitizer-moja kwa moja Hadi nyumbani
Yap unajua kwanza kabila langu huwa siwaambii watu nisiowafaham,kwa mfano nimezaliwa mbeya hata Kama wazazi wangu Ni wakwere nitasema Mimi mnyakyusa ndivo ninavoishiIla hatoki nje kwa kuwa anaona siku ya tatu bado hujafa.
Huenda uliaga vzur kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app