Mke wa jirani yangu ananisumbua

Relax, I can switch my foolish mode on and swim with u,lol!
Sasa si akamfuturu mkewe? Anataka kumfuturu na wa jirani wa mwenzie?
Huwezi jua, pengine anafuturu.

Don't shoot.I'm just being ignrant for a minute.
 
Hahaha! Akamsemelezee kwa mamake?
Shkamoo babu DC, lol!

Hujambo King'asti?

Sasa tusemeje sie ambao tumepitwa na wakati??

Enzi zetu tulifundishwa kila kitu ili kitusaidie kuhandle mambo mbali mbali tunayakutana nayo kila siku katika maisha yetu bila kujali ukubwa/uzito wake....!!

Kinachonishangaza ni kuona kwamba hawa vijana wa siku hizi ni kama vile wameachwa wakacharure charure wenyewe kama kuku wa kienyeji....Watapona kweli??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mie sina jambo babu.
Sasa wazazi wao wenyewe wanacharura, vijana wafanyeje? Manake kama mamake alimpata akiwa form two, hata ushauri sijui anapata wapi. Hivi wale wadogo zangu ushawapeleka mkoleni? Usisahau FGM haikubaliki, mafunzo bila wembe babu

Hebu acha kunivunja mbavu wewe King'asti!!

Kwa hiyo una maana kwamba baba ni sharobaro na mama ni sharomayo....hapo patamu kwani huyo mtoto atakuwa chotara la nguvu!!

Hayo mambo yaliisha siku nyingi bwana...mtu utaweza kuwaandalia binti zao future ya kuishia kusimuliwa utamu wa muwa??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sinaona mtu aliyetoa ushauri wa jinsi gani ya kupambana na hii kitu. JE NIRARUE AU?
 
kaza roho mtoto wa kiume wewe...we muwekee uso wa mbuzi na umuoneshe kuwa unamkubali mkeo tu na umwambie waziwazi kuwa umeshamshtukia na mtishie kumwambia mumewe tabia yake hiyo (ushauri huu ni kama uko serious humtaki na unataka kulinda ndoa yako, kama nawe umepagawa kimtindo, huu hautakufaa). Ila USO WA MBUZI ni muhimu sana sometimes ili wale wanaonyemelea wasitishe sumu zao. Kila la kheri Inshaallah!
Nimueleweje huyu mke wa jirani yangu. Mimi nimeoa na pia familia zetu ziko karibu sana ila simuelewi jirani yangu. Siku hizi anavizia nikiwa natoka asubuhi akisikia gari anatoka getini na kuniletea either matunda au chochote kile. Wiki end hii kaniletea bukta eti anasema ya kulalia. Je nifanyeje nimwambie mke wangu?
 
Hizo ni dalili za wazi kuwa anakutaka. Tumejadili mada zaidi ya elfu moja huku zinazosema mke wa mtu ni simu!!! Mpotezee haraka sana asije akakuletea balaa kwenye ndoa yako na ndoa yake pia na kukukosanisha na mume wake ambaye ni jirani yako na kukuchafulia jina mtaani kwenu.
Kataa zawadi zake na ikibidi hata akikusimamisha usisimame. Be strong na onyesha msimamo, jiulize kuna faida gani kuingia kwenye mahusiano yasiyo na tija na yenye hatari?
 
Mchape nao, tena ka mm namalizia humo mumo ndan ili apate na mimba kabsaaa.
 
subiri akitangaza kwa mashoga zake kuwa anatembea na wewe na kakununulia bukta,habari zikimfikia mkeo ndo utapata akili
 
kuna taarifa anajaribu kukupa mkuu, msome vizuri tu... anajaribu kukufikishia ujumbe kwamba mkeo anatembea na mumewe na kama vipi na nyinyi mlipize...
 
Kama umepata akili ya kuja kuomba ushauri hapa,
Umeshindwa nini kumwambia kuwa humtaki? Au unamtaka na wewe? Mwambie humtaki na usipokee tena zawadi zake.
 
Back
Top Bottom