Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.
nipe mimi huyo maana hili baridi dar litaniuaNilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.
Hawa jamaa wameshaona hii ni fasheni, ya kuja kujitangaza hapa kwamba wametongozwa. Sidhani kama huwa wanakuja hapa kuomba ushauri kweli, nafikiri huwa wanataka show of, waonekana na wenyewe wamependwa na wake za watu. Mwanaume mzima utashindwaje kuwa na maamuzi? Shame on those who entertain this.Usicheze na ndoa za watu, yatakufika mabaya wewe shauri yako na hapa mjini yakikufika utajuta.
Mbona wanawake wako wengi sana, tena warembo kweli, unashidwa kuchagua wa kwako hadi utake mke wa mtu, tena rafiki yako, acha kulemaza akili, jifunze kusema No (hapana) na umanishe hivyo.
bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi; binadamu atakuudhi!
hivi human race imepotelea wapi? mara wenhine wamesomeshwa na hawamtaki ngumbaru aliewasomesha, mwengine kapewa na pete ya uchumba hamtaki lecturer tena! ngachoka!
Piga mashine si kataka mwenyewe tena we dili na o713
wanaume wakitongozwa hawaachi, zali la mentali hata kama Mwajuma Ndala NdefuDhaifu wewe! Kwani ukitongozwa lazima ukubali?
Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.
Swali la kizushi, hivi ni kwanini hakuna mwanaume day?