Mke wa jamaa ananisumbua

Mke wa jamaa ananisumbua

Nenda siku moja pale nyumbani na hakikisha wapo wote, huyo mwanamke na mumewe!! Lakini kabla hujafika, tegesha alarm kwenye simu yako....lakini iwe na mlio kama kuna mtu anakupigia! Make sure alarm inalia in fifth minute.

Ukishafika pale, jifanye uko so distracted na kila mara uwe unajisonya sonya! Kila mmoja hapo atakuwa anakuuliza kulikoni....lakini we jifanye unajisonyasonya tu!

Ukiona it's only a minute to go, anza maongezi haya lakini ukiwa bado ditractted:
"Unajua kaka, hii dunia ya leo kwa kweli imeisha! Yaani usiamini mtu kabisa!! Yaani uaminifu hakuna kabisa kwenye ndoa za watu! Yaani kaka, huwezi amini....hivi una haba.....!" Yaani make sure wakati unafikia hiyo sehemu, alarm iite! Na ikishafanya hivyo, inuka na jifanye unapokea simu!! Piga stori za uongo na kweli za kwenye simu kisha waage wenyeji na ahidi kwamba lazima utarudi kumalizia stori ambayo uliianzisha kuhusu namna gani watu wasivyo waaminifu!!

I am sure, ukifanya hivyo, huyo shemeji yako hapo utamwaacha katika wakati mgumu ile mbaya kwavile atahisi ulitaka kumsemea!! Na hakika, ni huyu shemeji yako ndie atakuwa wa kwanza kukupigia kutaka kufahamu ulitaka kusema nini! Hapo mwambie kwamba ulitaka kumwambia mshikaji kuhusu tabia zake! hapo atakuomba misamaha elfu moja kidogo na hatarudia tena!

Arrghh!! Nimepoteza muda wote kueleza yote haya wakati maelezo yako yanaonesha wazi unataka kuhalalishiwa hapa JF!
 
chukulia hivi mkeo ataja faNYa hivyo alafu unagundua utajisikiaje kumbuka 3rd law of motion
 
mhh ndio maana wanaume tunadhalaulika sana na kuonekana kama wanawake kwa ajili ya mabwege kama huyu?? ukiombwa TIGO njoo uombe ushauri tena sawa eeeeee ??.
 
Too late, nshazeeka. Sasa ni kugida mtungi tu.

umekata tamaa kwa sababu una msongo wa mawazo ukifikiria malengo hayajatimia,acha mitungi urudi kwenye ndoo umesikia babu,swali la kizuushi leo ofisi za serikali zinafunguliwa?maana nasikia ni wanamke day
 
Hahahahah sijakata tamaa wewe.... Hapa nlipofikia pananitosha sana. Usiniambie mwanamke day ni public holiday.

Swali la kizushi, hivi ni kwanini hakuna mwanaume day?
 
Hahahahah sijakata tamaa wewe.... Hapa nlipofikia pananitosha sana. Usiniambie mwanamke day ni public holiday.

Swali la kizushi, hivi ni kwanini hakuna mwanaume day?

nilikuuliza swali hilo ili nidetermine kama ww ni mfanyakazi serikali utaamka saangapi au ndo nyie mnaolala kama kuku.wanaume day ya nini wakati mwajitia jeuri nyie mwaweza kila kitu peke yenu,vp umeandaa tai yenye rangi za bendera ya taifa.
 
Mie ni mjasiriamali nliejiajiri mwenyewe.......... Haya na wewe mwanafunzi utaamka saa ngapi uwahi darasani? Si umeona wenzako walivyofeli mwaka huu?
 
Mie ni mjasiriamali nliejiajiri mwenyewe.......... Haya na wewe mwanafunzi utaamka saa ngapi uwahi darasani? Si umeona wenzako walivyofeli mwaka huu?

mie ni private candidate,natafuta ajira kwa wajasiliamali vp hapo kwako naweza kupata onyo sitaki ukaguzi wako!!!!!!!!!!!!!
 
Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.

Kemea PEPO MCHAFU huyoo... ukishindwa niPM nikusaidie kukemea huyo pepo wa DHINAAA
 
mie ni private candidate,natafuta ajira kwa wajasiliamali vp hapo kwako naweza kupata onyo sitaki ukaguzi wako!!!!!!!!!!!!!
Sasa ntajuaje kama kazi utaiweza nisipokukagua??
 
Back
Top Bottom