Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.