Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

Status
Not open for further replies.
Pole dr. Slaa, najua leo utalala kwa hofu, ila ujue huyo alikuwa mke wa mtu na bado wewe una maadui wengi wa kisiasa hivyo tunashindwa kuelewa ni majambazi wa njaa au wa njama na kama ni njama ni zipi, wale wa mume wa josephine au maadui wako wa kisiasa. Inahitaji tathmini ya kina.

Ushauri wangu kwa dk. Slaa na chadema. Slaa hebu funga ndoa haraka halalisha kama bado una nia ya kuwania urais wa nchi hii, pili chadema imarisheni ulinzi wa huyo mzee ana dhamana kubwa kwenu na kwa taifa hili, kumbukeni bila slaa viti vingi vya ubunge vya majimbo msingepata, mulizeni sugu bila slaa asingekuwa mbunge angeendelea kuchana mistari na kuibiwa cd zake, pili bila slaa viti maalumu vya ubunge msingevipata vile, mulizeni esta matiko, rose kamili na wengine wengi.
 
Afadhali wakubwa wana pa kusemea!! Mi nimeibiwa kapu langu la Dagaa pale Feri leo asubuhi na sijuwi nitapata wapi mtaji mwingine...! Mke na watoto wanne ktk nyumba ya kupanga.. Na sina pa kusemea!! Heri yao wakubwaaaa! Pole Daktari Slaa bai ze wei!
 
mchumba wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Dr slaa amevamiwa na majambazi waliokuwa wamepanda pikipiki yeye akiwa katika gari lake ambapo walifanikiwa kuchukua kiasi kikubwa cha pesa. taarifa kutoka taarifa ya habari ITV leo saa 2.
 
Me nashukuru kwa juhudi zenu wana JF hadi 2napata habari kabla ya magazeti.Huku Mwanza tunampa pole mama rais wetu.
 
hiyo mbona kama mipasho una maana gani mzee wa jukwaa la mapenzi?
Ahaaa!haaaaa!hhhaaaa! Umempa kweli yake, nilikuwa na mheshimu sana The Boss lakini nimemshusha vyeo vyote kabisa! Amekuwa kama mwanamke asiye na simu tu!!
 
Pole Josephine.

Changamoto inayotukabili ni kupata mfumo mpya wa fedha ambao utatusaidia kupunguza matukio kama hayo ambapo watu hawatahitaji kutembea na pesa nyingi mifukoni.
 
mchumba wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Dr slaa amevamiwa na majambazi waliokuwa wamepanda pikipiki yeye akiwa katika gari lake ambapo walifanikiwa kuchukua kiasi kikubwa cha pesa. taarifa kutoka taarifa ya habari ITV leo saa 2.
mngu atakulipia
 
Mungu ampe nguvu mama Josephine,Haya ni magamba na hujuma.Mungu aliye mkuu atakulinda na mabaya yoye
 
Chama cha magamba,ndo chenye wajibu wakumnusuru huyu mzee wetu Slaa na familia yake,wasije wakajaribu huo upuuzi,wakidhani wao watasalimika....hapatakalika daima!!
Noutorious BIG,alivyomwua 2PAC...je yeye aliishi??
MOBUTU alivyomngoa KASAVUBU yeye ndo aliishi??
Wasitake tufike huko!!
 
pole wifi yetu, na mama mdemokrasia......Mungu atakulinda usidhurike katika pita pita zako. Majaribu yasikuvunje moyo. Hizo ni njama tu....na hazitaua demokrasia nchini.....tunakuombea wewe na familia yako
 
am sorry for her, Mungu atamjaalia mkoba na pesa ingine, ilimradi yu hai! Pole Jo
 
Dr Slaa akiwa na mkewe majira ya saa 12 jioni ya leo amevamiwa na majambazi barabarani wamefyatua risasi na kupora porch na kutoroka kwa kutumia pikipiki! Source: ITV habari ya saa 2 usiku huu.

Dr. Slaa hakuwa na mkewe wakati anavamiwa, she was alone (according to ITV news)......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom