Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katavi, Jul 13, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Source: habari ITV usiku huu. Kavamiwa katika barabara ya Sam Nujoma na kuporwa mkoba uliokuwa na pesa.
   
 2. M

  MCHARA Senior Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dr Slaa akiwa na mkewe majira ya saa 12 jioni ya leo amevamiwa na majambazi barabarani wamefyatua risasi na kupora porch na kutoroka kwa kutumia pikipiki! Source: ITV habari ya saa 2 usiku huu.
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  dah tusio na umeme
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwani hana walinzi (bodyguard)!?
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nina amini si njama za Magamba wala yule Mbunge Mstaafu wa Igunga.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mke au slaa na mkewe!?

  Kwani hana walinzi (bodyguard)!?
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  duuu, amesalimika?
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Yaani hana walinzi?
   
 9. P

  Peter bedson Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh nashukuru kwa taarifa huku m/nyamala km hatuna umeme
   
 10. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh wewe utakuwa mwananyamala kisiwani.
   
 11. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama nimesikia sawa sawa aliyevamiwa na majambazi ni MKE wa DR Slaa, Josephine.
  Kulingana na habari risasi zilipigwa na gari kukosa uelekeo nahatimaye kugonga gari nyingine mbele yake.
  Polisi walifika muda mfupi baadaye na kuondoka na mama Josephine.
  That is if at all my ears still hear good.
  Poleni Dr Slaa and family.
   
 12. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Si dr slaa na mkewe pekee.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawajasema kama na Dr Slaa alikuwepo. Inasemekana majambazi yalipiga risasi gari yake upande wa kushoto na likakosa uelekeo na kuligonga gari nyingine iliyokuwa mbele yake. Hapo ndio majambazi yalipompora..
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Si Slaa ni mkewe!
   
 15. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Hao watakuwa ni magamba, wanautafuta ushahidi wa chenge kabla hajaukabithi kunakohusika. Wamthuru waone kama nchi hii itakalika
  .
   
 16. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu Dr Slaa hakuwepo, alikuwepo mke wake pekee
   
 17. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Pole mama Slaa,eti ndio Tanzania kisiwa cha amani :sick:
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  uzembe mwingine unashangaza mno

  na ndo mnataka mmpewe nchi muongoze?????????
  really????????
   
 19. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  pole mama ukombozi uliwaghalimu waafrika kusini kukimbia nchi na kuweka kambi morogoro
  kama kuna chama magamba watajaribu kufanya huu upuuzi watakuwa wanajimaliza zaidi/kwa kasi
  watanzania tumeshachoka
   
 20. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hiyo mbona kama mipasho una maana gani mzee wa jukwaa la mapenzi?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...