Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

Status
Not open for further replies.
kuvamiwa kunahusu nini na kujifungua? check, something wrong with your celebral hemisphere.... between your legs!
Wewe ndio mwenye matatizo na inabidi ujitazame kama akili zako ziko sawasawa. Fuatilia mjadala vizuri utagundua kwa nini nimeuliza vile....
 
mchumba wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Dr slaa amevamiwa na majambazi waliokuwa wamepanda pikipiki yeye akiwa katika gari lake ambapo walifanikiwa kuchukua kiasi kikubwa cha pesa. taarifa kutoka taarifa ya habari ITV leo saa 2.
Unaongopa msoma taarifa amesema Mke wa Dr Slaa amevamiwa na majambazi na kuporwa pochi,Kamanda Kenyela akasema bahati tumepata mfuko tunalichukulia swala hilo kama swala la ujambazi lingine lolote amesema tumepata viashiria tutawakamata ,we are going to arrest them
hayo ya pesa nyingi unaongeza michuzi yako musituchafulie jamvi kwa uongo
 
katavi its nothing todo with pregnancy! kavamiwa kaporwa mkoba period! delivery imetokawapi? au imetoka between your legs?
 
Pamoja na Pole lakini suala la kujiuliza kwanini asiwe Bungeni kuhudhuria vikao vya bunge kama alikuwa na uwezo wa kuendesha gari mwenyewe?

Au ndio yale yale utoro
 
mkewe si yupo MANYARA? azungumziwaye hapa ni yupi? au dokta wa kutoa sumu kitapeli?
 
katavi its nothing todo with pregnancy! kavamiwa kaporwa mkoba period! delivery imetokawapi? au imetoka between your legs?

Mambo ya pregnancy yaliingia baada ya mchangiaji mmoja kuuliza kama mtoto alijeruhiwa au vipi wakati wa tukio, na ndipo hayo mambo yakaingilia kati........sorry kama umekwazika, pamoja sana!!!
 
Pamoja na Pole lakini suala la kujiuliza kwanini asiwe Bungeni kuhudhuria vikao vya bunge kama alikuwa na uwezo wa kuendesha gari mwenyewe?

Au ndio yale yale utoro

Umeambiwa mkewe anayezungumziwa sio MBUNGE....
 
kwani kuna ubaya gani kuuliza?

Inakuhusu nini mimba take? Mwanamume mzima unauliza swali la kijinga hivyo? Na wa kwako amejifungua? Next time be a man and ask sensibly and discuss issues not gossip....inaelekea huna kazi
 
Unaongopa msoma taarifa amesema Mke wa Dr Slaa amevamiwa na majambazi na kuporwa pochi,Kamanda Kenyela akasema bahati tumepata mfuko tunalichukulia swala hilo kama swala la ujambazi lingine lolote amesema tumepata viashiria tutawakamata ,we are going to arrest them hayo ya pesa nyingi unaongeza michuzi yako musituchafulie jamvi kwa uongo
Be patient mkuu.
 
Josephine ndie mkewe.....!!

Shukran kwa jibu lako muruwa. Nina suala la nyongeza hapo.

Je Yule mbunge wa vitii maalum ambaye amekuwa anaonekana na Slaa sehemu mbalimbali na kumtambulisha kama mkewe anaitwa nani?
 
Shukran kwa jibu lako muruwa. Nina suala la nyongeza hapo.Je Yule mbunge wa vitii maalum ambaye amekuwa anaonekana na Slaa sehemu mbalimbali na kumtambulisha kama mkewe anaitwa nani?
Aliyekuwa anaongozana na dr.slaa kipindi cha kampeni ni mchumba wake anaitwa Josephine Mshumbusi.yule aliyoko Bungeni anaitwa Rose kamili mkewe wa zamani amabaye ni Mbunge wa chadema viti maalum.mia
 
alimfukuza mlinzi wake alie kua anajilia uloda kwa mkewe. chadema wampe mlinzi mzee kuliko yeye ili mke wake asimtamani
 
Kuna MIJITU MIJINGA SANA TANZANIA.

YAANI HAYAONI HIYO THREAD NI YA MWAKA GANI.

WATU WANA MAVI VICHWANI NA AKILI PANAPOSTAHILI MAVI.
 
Source: habari ITV usiku huu. Kavamiwa katika barabara ya Sam Nujoma na kuporwa mkoba uliokuwa na pesa.

Team Babu Mangula retired Usalama wa Taifa wapo Kazini....mzee ana zile mbinu za kizamani lakini nazikubali...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom