Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 576
- 1,625
Bi Queen aliyasema hayo kwenye mahojiano yake na Clouds TV 7/2/2023 ambapo alishika Msahafu na kusema mara ya kwanza anakutana na Shehe Mkuu wa Mkoa ni siku aliyompigia simu na kumuomba miadi ya kukutana naye kwaajili ya kumsaidia suala hili la ndoa.
Bi Queen amesema kuwa kabla ya hapo hajawahi kukutana naye.
Pia soma
Bi Queen amesema kuwa kabla ya hapo hajawahi kukutana naye.
Pia soma