Basi umekamatika hukwepi au na wewe unamzimia! Kazi kwako!
Vigezo vyote vya uzuri nivitakavyo anavyo hasa macho yake manake ndo ugonjwa wangu mkubwa,
Sasa ukichanganya vigezo plus kashakuweka wazi hisia zake inakuwa balaaa, kila nikimuona hata kama kwa mbali hali inabadilika
Hii hali itaishaje bila kumkamua?! Na nikimkamua itakuwaje?
kusema no kwa mwanamke anayejielewa ndio kilichonishinda
Hebu toeni ushauri waungwana.
Inakuwaje mke wa bossi wako anapokuzimia, Kila mara napigiwa simu hata usiku wa manane mie najua ni mtu na stress zake anataka mtu wa kuongea nae, baada ya majina na sauti kuanza kubadilika nikagundua hilo.
Hapa nilipo nimemwambia akiwa tayari anijulishe, ila akili ndo inanirudia sasa kuwa hili jambo si lakuliendeleza tena.
Nifanyaje kumkemea huyu pepo anayeninyemelea hapa?
Ushauri wa busara unahitaji kumuokoa huyu kiumbe katika hili janga.
Vigezo vyote vya uzuri nivitakavyo anavyo hasa macho yake manake ndo ugonjwa wangu mkubwa,
Sasa ukichanganya vigezo plus kashakuweka wazi hisia zake inakuwa balaaa, kila nikimuona hata kama kwa mbali hali inabadilika
Hii hali itaishaje bila kumkamua?! Na nikimkamua itakuwaje?
Thanks kwa ushaur mzuri! Nitalifanyia kazi ila akiinsist hapo ndo shida itakapokuja,