Mke wa boss wako anapokuzimia

Mke wa boss wako anapokuzimia

1. Akifumwa na bosi maisha yapo hatarini, nakazi kupoteza sawia

2. Asipotekeleza ya mke wa bosi, mke wabosi atamzulia balaa la kufa mtu na bosi akafanya maamuzi yasiyotarajiwa.

Hiyo sawa na uji wa moto sawasaw, mbele ya wageni waheshima kutema noma - kumeza blaa la kuunguza kurome.

Sina ushauri maana ni balaa kwenda mbele.

Naomba nikusalimu....
 
Hivi una akili kweli ww...huyo mwanamke naomba mpe haki yake...siku zote ukipewa kitu usikatae ni dharau..ww unafikiri ukimkatalia atajisikiaje....
 
Hahahaaaa mwangalie na bichwa lake😀😀😱

bichwa lipi ??
la kwenye avatar au la juu au la chini

naona aibu umeanza kuona wewe kwa kutaka kuninyima
 
Story fake bhana..poteza mda tuu.
 
Unaoneka mtu wa dini maana ktk mtazamo wako huyo ni pepo na ndivyo ilivyo, sasa chukua biblia ktk kitabu cha Mwanzo usome kisa cha Yusuph na mke wa Farao
 
Hebu toen ushaur waungwana,
Inakuwaje mke wa bossi wako anapokuzimia,
Kila mara napigiwa sim hata usiku wa manane mie najua ni mtu na stress zake anataka mtu wa kuongea nae, baada ya majina na sauti kuanza kubadilika nikagundua hilo!
Hapa nilipo nimemwambia akiwa tayar anijulishe, ila akili ndo inanrudia ss kuwa hili jambo si lakuliendeleza tena!
Nifanyaje kumkemea huyu pepo anayeninyemelea hapa?
Ushaur wa busara unahitaji kumuokoa huyu kiumbe katika hili janga!

Pole ndugu, huo ni msala. Mke was mtu ni sumu lakini kwa mke was bosi umakamatika. chagua moja, kutafuta kazi sehemu nyingine au kumyeyusha na kusubiri matokeo. Kwani ni vigumu kukwepa na mara nyingi bosi lazima ajue kinachoendelea endapo ujajirahisi!
 
Ukizichanga karata zako vizur, patamu hapo! Kazi mbili (mishahara miwili) ofisi moja! Mungu akupe nini?
 
Mwambie ukweli namna unavyojisikia

Ukweli, huyo mtu mwenyewe ametulia, once niliwahigi kumwambia namfeel na akihitaj chepuka anitafute(like 2yrs ago)
Ingawa kipind hiko nilikuwa natania, ss hv yy anataka kweli mm ndo akili inakaa sawa
 
Story fake bhana..poteza mda tuu.

Nomaaa mkuuu! Haya maushaur yanasaidiaga sana kwa issue personal kama hizi ambazo huwez shea na mtu, so JF GTs ndo wanasaidia kutoa maushaur! Ukiona natania kaa kimya wenzio wanipe ushaur
 
Unaoneka mtu wa dini maana ktk mtazamo wako huyo ni pepo na ndivyo ilivyo, sasa chukua biblia ktk kitabu cha Mwanzo usome kisa cha Yusuph na mke wa Farao

Thanks kwa ushaur mzuri! Nitalifanyia kazi ila akiinsist hapo ndo shida itakapokuja,
 
Pole ndugu, huo ni msala. Mke was mtu ni sumu lakini kwa mke was bosi umakamatika. chagua moja, kutafuta kazi sehemu nyingine au kumyeyusha na kusubiri matokeo. Kwani ni vigumu kukwepa na mara nyingi bosi lazima ajue kinachoendelea endapo ujajirahisi!

Tatizo hii kazi niliyonayo kwa ss n nzuri na sijui kwa qualifications zangu kama naweza pata kazi nzuri kama hii kwa ss, Labda nihame mkoa kbs ambayo inakuwa ngumu manake mambo mengine ya mtaan yanaendelea kwa kasi! Meaning naihitaji hii kazi sana kwa ss
 
Basi umekamatika hukwepi au na wewe unamzimia! Kazi kwako!
 
Hebu toen ushaur waungwana,
Inakuwaje mke wa bossi wako anapokuzimia,
Kila mara napigiwa sim hata usiku wa manane mie najua ni mtu na stress zake anataka mtu wa kuongea nae, baada ya majina na sauti kuanza kubadilika nikagundua hilo!
Hapa nilipo nimemwambia akiwa tayar anijulishe, ila akili ndo inanrudia ss kuwa hili jambo si lakuliendeleza tena!
Nifanyaje kumkemea huyu pepo anayeninyemelea hapa?
Ushaur wa busara unahitaji kumuokoa huyu kiumbe katika hili janga!

Huyu mtoa maada huwa muongo muongo kuna maada humu alianzisha ati anataka kuolewa leo tena ati mke wa boss anamtaka
 
Back
Top Bottom