Mke wa Boss aliwa uroda kiaina

Mama amechanganyikiwa anataka atoe hii siri kwa watu wa jirani na mumewe, shoga yake ambaye ni mke wangu akaniomba ushauri, nami nawaomba wana JF ushauri wenu ili tuiokoe hii ndoa maana akisema tu lazima talaka itanuka tu.

kazikubwa Mshahara wa tamaa ndiyo huo sasa ushauri wa nini? Kama wewe umejua basi mumewe atajuzwa na wabaya wa huyo mama........................lakini hii stori kama nilikwishaisoma humu zamani inayofanana na hii......
 
Teh,teh,teh,teh,teh!!!!
"
Safi sana,akisema nani atamuamini?Na atakaemuamini atajiuliza kuhusu utimam wa akili ya huyo mwanamke
"
Anapenda sana pesaeeee na ashike adabu,lakini anategemeaje mumewe amlipie mishahara ya wafanyajazi wake?
"
Ofice haijitoshelezi?Si aifunge?Atabunjuliwa tena tu!
 
Nilishaisoma hii kule kwenye jukwaa la utani. Sitoi ushauri wowote.

tukio lenyewe limekaa kiusanii usanii tu,kama vipi apeleke hii idea bongo movie wakatoe movie wapige hela kwasababu ni idea nzuri na wao kazi yao kubwa nikufyatua tu movie bila kuzingatia maudhui yake kwa jamii inayowazunguka.
 
kwi kwi hii story nishaisoma sana sehemu mbalimbali ni kama story ya kuburudisha akili tu
 
Hauna jipya katika story hii sana sana umetafsiri Kiingereza kwenda Kisawhili. Jaribu kuwa creative utoe kitu chako mwenyewe. Ovyoooooo
 
Hii bonge la mbinu,...
Hadithi hii inatufundisha niiiniii..?
JIBU: Usipende kukopesha marafiki zakoooo.....!:becky::becky:

MAKOFI: waw ewa wa wa wa wa wa wa wa.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 

Hadithi nyingine bwana!
 
hakuna cha nn wala nn acha nao waliwe maana hawa maboss ndo wanamaliza madem ze2 na dada zetuna hata wake zetu kwa pesa zao, ''upele umepata mkunaji''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…