Mke wa Bob Marley alonga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Bob Marley alonga

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KAUMZA, Jan 6, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mke wa muasisi wa muziki wa Reggea, Bob Marley amesema iwapo atapata mwanamume mwenye uwezo(hakutaja ni uwezo gani), yupo tayari kuanza uhusiano wa kimapenzi na mtu huyo.

  Dah, hii imekaaje?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  kip kipya?
  asi bnadamna yeye jaman au?!
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  last time i checked alikuwa ameolewa baada ya kifo cha bob na akazaa mtoto na jamaa anaitwa Tacky, na wakazaa mtoto anaitwa serita
  sina taarifa kama ali divorce....
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ni haki Yake wadau
   
 5. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jitokezeni vidume mkatupe ndoano
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mke yupi, Rita Marley?

  Kwa sababu alikuwa na wake kama watano hivi.
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa mke wa Bob si atakuwa over 60 ? si kama Siberia 'everyone knows where it is but no one wants to go there'.
   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  hi itakuwa ni uwezo wa shipa tu coz kama hela si tatizo. Mzee yusuph anaweza kufaa
   
 9. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Hamna noma. Hii imekaa freshi. Kama una kontakti zake ni-pm haraka iwezekanavyo!
   
Loading...