Mke wa Barnaba akiwa na mume mwingine

Duuuuh wote soft hapo wakinyoa upara wote huwezi kujua wakike ni yupi au wakiume ni yupi
Hamna bhana... sema itakuwa rahisi kuchanganya madesa; kwamba kirahisi rahisi tu unaweza kui-replace X na Y and vice versa!
 
!
!
nilitaka kukoment chochote ila nimeona bora nijikalie kimya tu maana mie kiroporopo sana....Sasa kama unataka kujua nilikuwa nataka kukomenti nini kabla sijaghairi ninukuu kuniuliza.
 
Hongera Barnaba. Time yako radio mawingu ume win na kuonyesha maisha ya ukweli na sio haya ya maigizo. Wanaoijadili picha waache waijadili weee but you're the overcomer.
A good man stand with his family at any cost.
Kweli kabisa mwanamke mzuri anatoka kwa Mungu..sio maigizo kama tamthilia usawa wenyewe srkal ya 5..hapa kaz..sio malangi
 
Waoohh... Handsome la nguvu. Apo barnaba wala asikasirike maana si kwa mwanaume uyo. Lips na macho tu duuuuu kuna wanaume wazur aisee
Nikupe namba?? maana naona umepagawa chupi imelowana hapo!! ushavuta picha anavyokukojolesha
 
Back
Top Bottom