Mke wa balozi mtamu

Ila unafanana na yanayokea mwaka huu. Inawezekana tu ni makosa ya October ileee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
kweli aisee maana sio kwa UTUMBO aliokuwa anaimba huyo jamaa

mara tulisikiaga

"..usiniseme kama napenda kula.."

[emoji2][emoji2]

na video lake lile kama alishoot kwa Simu..
Yaani team mondi utawajua tuu
 
Matembele ni matamu kama mke wa BALOZI [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Toboa tobo tu mshana...,ila anza na neno 'eti ' wanasema 'eti,.'.......
Dah! Vi-wonder tz hiyoooo......
 
Kweli cheupe ni mtamu hadi protokalii inasahaulika kwa muda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…