LabdaWifu
Faru john kesha kufa....Sijaelewa kitu hapa naombeni MAELEZO ya ziada
wazee wa msata hawa.[/URL]
Kwa kuwaonja tu haujambo khaa hadi huyo mkaka?Humuogopi???Kama wewe ulivyo mtamu bwana shee.
Kwa kuwaonja tu haujambo khaa hadi huyo mkaka?Humuogopi???
Muongo huyo, anajifanya muoga wakatii.........Hahahahahahahaha lol! Huo sasa ni uchokozi na pia ni uchochezi ila umenifanya nimecheka sana. Kumbe muoga eh! hahahaha.