Mke wa balozi mtamu

Aise wana bia za kutosha mpaka Christmas acha waendelee kujipa burudani!!!
 
kweli aisee maana sio kwa UTUMBO aliokuwa anaimba huyo jamaa

mara tulisikiaga

"..usiniseme kama napenda kula.."

[emoji2][emoji2]

na video lake lile kama alishoot kwa Simu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa wako busy na maandalizi ya kuchuma tembele pori πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Matembele ni matamu kama wake wa hayati faru...oooyaaa eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: BAK
kui yuko busy na kazi na maandalizi ya Xmas na New Year, una salamu zake nimfikishie? πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Mie nipo nipo sana tu katika lile jukwaa langu maarufu. Angalia vizuri kalenda yako isije kuwa unaangalia kalenda ya 2014 ya 2016 leo ni Jumapili.

Nimekumiss we mtu, kui yuko wapi?

Kalenda yangu!!!!!!! Kalenda yangu inaniambia vitu vingine kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…