britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,191
- 48,267
Mke wa balozi anayeaminika kwa kuchukia rushwa amesema kwamba.
''Heri kuwa mtumwa na mkimbizi, kama Yusufu, kuliko kuwa mwanga, mnafiki, mzadiki kama ndugu wa Yusufu.
Kumbuka muota ndoto hafi mpaka ndoto itimie.
Muwe na maisha marefu.
Siwajibu watu hapa kwakuwa.........
Hamuwezi kupitia hatua zilizomfanya YUSUFU kufika alipo.
Muota ndoto...............''
Hayo ni maneno ya mwanamke imara aliyemjenga Dr. Slaa na kukataa ufisadi