Kama hawavuani nguo wala kutukanana na kujaza watu
ugomvi wa kawaida wa kike,nawatazama kama siwajui lol
hiyo mechi haifai kuangaliwa, hao ukiwaona wameanza kushikana ni bora ukimbilie mbali wasikuone kabisa la sivyo utaumbuka na ugomvi utaamia kwako
je kama wanavuana nguo na kutukanana?Kama hawavuani nguo wala kutukanana na kujaza watu
ugomvi wa kawaida wa kike,nawatazama kama siwajui lol
Mie hata siwatazami kabisa ..................!Sijasema natazama mechi
but nitawatazama huku naondoka like kui ignore
je kama wanavuana nguo na kutukanana?
Mie hata siwatazami kabisa ..................!
Kwa kuwa hawajuani, na wao wakakuona na kila mmoja akakuona wewe ni msaada halafu wakakufuata wote simulteneosly utalikwepa vip hili kaka, si ndo utakuwa umefungulia timbwili jingine la Asha ngedere ............!Ni muhimu wajue umewaona na upuuzi wao
ili wajue kuna kesi later
Kwa kuwa hawajuani, na wao wakakuona na kila mmoja akakuona wewe ni msaada halafu wakakufuata wote simulteneosly utalikwepa vip hili kaka, si ndo utakuwa umefungulia timbwili jingine la Asha ngedere ............!
Hapana si lazima aijue, pili mtoa mada kasema "then hawajuani" .........!nyumba ndogo siku zote wanaijua nyumba kubwa