Mimi ni SHABIKI wa thread zake, kila thread ina kitu kipya na inafikirisha. Bado nasisitiza, jisemee mwenyewe, Deo lazima anawake wa kumfaa. Kesha toa vigezo Kilimanjaro na Dar. So tulia naamini bro Deo ataleta mrejeshounamjua deo au unamsikia hata majini mahaba yamemkimbia
[emoji16][emoji16]ha ha ha a ha ila kwel mzee mwenzangu
hahahahaha Miss Natafuta umenichekesha sana hadi nimepaliwa na komoni hahahahlabda uoe sayari ingine .duniani humu hakuna mtu anakutaka wewe .una visa ,una gubu ,hujipendi .wewe ni mzigo wale wanawake watano uliowazalisha mbona hukupata wa kuishi nae? msituone sisi wajinga
Khee, alishakutongoza??[emoji87]labda uoe sayari ingine .duniani humu hakuna mtu anakutaka wewe .una visa ,una gubu ,hujipendi .wewe ni mzigo wale wanawake watano uliowazalisha mbona hukupata wa kuishi nae? msituone sisi wajinga
Hayo uliyasahau ukienda tena katka siasa vituko vitajirudiaMKE NITAKAYE MUOA:
1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.
Deogratius Kisandu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]MKE NITAKAYE MUOA:
1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.
Deogratius Kisandu
mletee miss chagga mkuuHongera kwa kujitambua Mkuu. Mabinti wa Dar na Kilimanjaro kaeni mkao wa kula kuna muoaji anataka kujiongeza katika mkoa mmoja kati ya hii miwili au "akaoa" ndani ya mikoa yote.
Kumbe hata ww umeona aiseembona kama kuna lililo kupata vile
Aje na kapu kuna
Hongera kwa kujitambua Mkuu. Mabinti wa Dar na Kilimanjaro kaeni mkao wa kula kuna muoaji anataka kujiongeza katika mkoa mmoja kati ya hii miwili au "akaoa" ndani ya mikoa yote.
ndio hivyo mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]sasa mbona mkuu umeandika kwa jazba sana wakati unatoa mawazo yako mwenyewe!!!!
kuna anayekuzuia kwani humu usioe!!!!
Kwani mkwe mimi ni wa mkoa gani?siasa zimeisha sasa umeamua kuoa
ha ha ha ha ha kwan mkwe hii bahat kumbe haijawah kukupitiaKwani mkwe mimi ni wa mkoa gani?
Naona bahati kama inanipita pembeni hii.