Mke nitakaye muoa....

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,401
MKE NITAKAYE MUOA:

1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.

Deogratius Kisandu
 
labda uoe sayari ingine .duniani humu hakuna mtu anakutaka wewe .una visa ,una gubu ,hujipendi .wewe ni mzigo wale wanawake watano uliowazalisha mbona hukupata wa kuishi nae? msituone sisi wajinga
 
Hongera kwa kujitambua Mkuu. Mabinti wa Dar na Kilimanjaro kaeni mkao wa kula kuna muoaji anataka kujiongeza katika mkoa mmoja kati ya hii miwili au "akaoa" ndani ya mikoa yote.

 
sasa mbona mkuu umeandika kwa jazba sana wakati unatoa mawazo yako mwenyewe!!!!
kuna anayekuzuia kwani humu usioe!!!!
 
A truth about life.
Huwezi kupata mke kwa staili ya aina yako.
Play your own part,
have your own change.
( 6 * 6 * 6 )
19 - of feb -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…