Wakuu natumai hamjambo.
Wake zetu tunaoishi nao mara nyingi wamebeba tabia ya urafiki na uadui kwa wakati mmoja, mwanamke hufanya urafiki kwa mumewe ajili ya familia but hufanya uadui wa siri kwa ajili ya manufaa yake binafsi.
Najua wengi hamjanielewa but taratibu mtanielewa, mwanamke unaeza mpa mtaji afanye biashara but hatotaka ujue mwenendo wa biashara yake wala matumizi ya pesa, kupitia biashara ulompa mwanamke anaeza nunua hadi kiwanja akajenga bila wewe kujua.
Muda wote huo atajifanya rafiki wa karibu nawe ili kuficha uadui wake anaofanya dhidi yako, akishatimiza mambo yake basi ndo huanza kua jeuri coz anaona kabisa humbabaishi kwa lolote.
Mwanamke anaeza utumia ugomvi wenu ndani kuwalisha watoto chuki dhidi yako hadi wakakuona boya, inshort mwanamke ni hatari kuliko hata sumu, niwaombe wanaume wenzangu tuishi nao kwa tahadhari sana hawa viumbe maana wana akili za ajabu sana ova.