Hapo naomba nikubishie...vile vibibi vyetu vya zamani vilikuwa kama vichawi....hata ukimtiwa switch kidogo na kumwacha vilikuwa vinajua tu,..sembuse umtwange full dozi??
Kama nyumba zenyewe ziko hivyo ni sawa ila wengine tumezoea kutumia nyumba moja familia nzima na hakuna ceiling!!
Babu DC!!

Huu mpera wa ukweni Dark City umeukubali?
Manake kuna amsha zingine unaweza zifanya ...asubuhi wakwe wakawa wanakushangaa..
Ila mwalimu gfsonwin kanifurahisha anaposema mechi ya ugenini kama nyumbani..na inanoga usipime!
Au The Boss unasemaje pale wakwe wanapokuwa wamewatengea na chumba kabisa..
Na hili kuua soo baba mkwe anawaaga mapema tu..wanangu mkalale mmechoka........
Akili inakuwa inajua mzee ananipiga mchango wa macho hapa...lol

mmh! si kweli ila wanajivunga wakute ndani ya 18 utaamini.Story zako zinanifanya nishangae sana...
Uzoefu wangu ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya fanya haya mambo.....
Labda wewe umebarikiwa kiaina!!
Babu DC!!
kwani kaka mkubwa SnowBall wewe unaafiki mpera wa ukweni?Huu mpera wa ukweni Dark City umeukubali?
Manake kuna amsha zingine unaweza zifanya ...asubuhi wakwe wakawa wanakushangaa..
Ila mwalimu gfsonwin kanifurahisha anaposema mechi ya ugenini kama nyumbani..na inanoga usipime!
Au The Boss unasemaje pale wakwe wanapokuwa wamewatengea na chumba kabisa..
Na hili kuua soo baba mkwe anawaaga mapema tu..wanangu mkalale mmechoka........
Akili inakuwa inajua mzee ananipiga mchango wa macho hapa...lol
aisee so long as mnaingia rum moja kulala hakuna tofauti na kimsingi ndivyo wakwe zako wanavyotazamia ila sasa wewe binafsi ndo huna hiyo konfo basi. siamin toka uoe hujawah kupiga mpera ukweni unless kama huwa hamwendi mara kwa mara.
Kama mazingira ya ukweni ni mazuri na privacy ni maximu sitajali, vinginevyo tuta-starve hata kama ni mwezi mzima!! Babu DC!!
na ndio maana nilisema tulitengenezewa chumba chenye privacy ya kutosha.Kama mazingira ya ukweni ni mazuri na privacy ni maximu sitajali, vinginevyo tuta-starve hata kama ni mwezi mzima!!
Babu DC!!
kwani kaka mkubwa SnowBall wewe unaafiki mpera wa ukweni?
Unajua nini gfsonwin,
Tunatofautiana sana tunavyochukulia ukweni na wakwe...Kwangu mie kule napaheshimu kama nini sijui!!
Hata kuongea kwenye ukweni mtu unachambua maneno ya kuongea, iweje upate ujasiri wa kupiga mechi??
Mie siwezi kabisa!
Babu DC!!!

na ndio maana nilisema tulitengenezewa chumba chenye privacy ya kutosha.
Integemea aisee siwezi hapa kukupa jibu la moja moja..
Japo tukiendaga wanatujengea mazingira ya kuwa pamoja..but siwezi kujiachia kama ninavokuwa anfield..
Kikubwa kama alivosema Dark City ninapima privacy ilivokaa na issues za kujiachia si unajua zinataka nafasi...
jamani sifanyii upenuni nafanyia chumban asiponiona mtu yyte, sasa nimekuuliza hivi kama nitaingia na hubby rum nisifanye nania anajua kwamba sijafanya? ishu tu ni kumaintain ile heshima na huwez ukaanza kuscream as if uko guest hapana.
heshima iko pale pale ila lazima mechi ichezwe tu.
Kwa malezi na makuzi yangu mie...bado nitakuwa na kigugumizi cha mikono na miguu...
Bado nahisi kama ukweni siyo uwanja mzuri wa kuchezea mechi halafu mtu ukajiachia!!
Bora hata kwetu ila siyo kwa wakwe wangu...
Babu DC!!
Sasa kama unajua huwezi kupiga kelele to the fullest...why do it?
Kwani kuna urgency gani kiasi kwamba msisubiri hadi mrudi kwenye uwanja wenu wa home??
Babu DC!!
Sipati picha umepata binti
anakuja na mumewe na kuleta ya 'lap dance na striping' kwako
na wewe usiku unasikia sikia mambo
sipati picha kwa kweli lol
Sipati picha umepata binti
anakuja na mumewe na kuleta ya 'lap dance na striping' kwako
na wewe usiku unasikia sikia mambo
sipati picha kwa kweli lol