Mke mwenye waume wawili

Mke mwenye waume wawili

Ebu acheni zenu.
Mbona hapa Dar kuna wanaume wengi wanawekwa unyumba na mwanake mmoja??
Midume mingapi hapa imepangishiwa na wanawake wenye fedha na inajuana kwamba inakula chungu kimoja??

Utasikia;

"Safari hii ya Nairobi naenda na mwenzio, sinilikwenda na wewe Afrika Kusini wakati ule?? Acha mwenzio naye akafaidi!
Nikirudi jiandae Lile zee nikifanikiwa kulichuna safari London."

Vijana wadogo kuuza mpini kwa mijimama yenye fedha ili ilipiwe gharama za kuishi ni kawaida tu Bongo.

Watu wasijifanye kushangaa

Jinsi wanawake wanavukuwa wasomi na wenye pochi wanaume tutaolewa hata wanne na mwanamke mmoja.
 
Back
Top Bottom