Stereotypes zinasema wapare ni mabahili na wachagga kwa pesa huwawezi lakini hizi picha sidhani kama zinatendea haki stereotypes hizo
Naunga mkono hoja...mimi ni mpare na wala sijauona ubahili wangu...hembu niambieni huo ubahili wa wapare mnauonaje jamani?
Hizo ni stereotypes tu wala hazina ukweli kwa saana au labda kutokana na culture za watu zilikuwa na ukweli hapo zamani, na zipo nyingi tu kama wahaya na majivuno; waha kwa upole, n.k. nadhani kila kabila lina stereotypes zake, jinsi watu wanavyogeneralize tabia za watu wa huko hata ulaya zipo kama watu wa Liverpool (scousers) ni vibaka
Lazima Wachaga mwaongelee maana ni kabila la mfano
You know, i really don't like to hear kwamba wapare tumabahili... hata ukimpata mwanamke akijua wewe ni mpare, it's a minus coz they have this attitude that we are stingy, damn it!
Mfano wa nini.......?
Anae kupenda kweli sio kwenye ulimi tuu kwenye moyo na anaeridhika kama unacho au huna...
Huyo wa kichaga anafanya kwa dhati?