Mke mwema hutoka kwa BWANA?

you know what.. you are probably very right.. on the other hand.. Biblia haisemi juu ya mume mwema anatoka wapi! It looks like you will recognize him when you meet him..

If mke mwema meets mume and finds out that he is not mwema, obviously atabadilika na kutokuwa mwema tena.

Hivyo basi, ni vigumu kupata mke mwema kama wewe si mume mwema.
 
Mtu akikuambia mke mwema anatoka Ruvuma, na wewe uko Dsm, itakuwaje? Tatizo langu mimi ni mume mwema anatoka wapi? Manake tunajitafutia kwa kutumia checklist na ku-certify lakini .....!
mume mwema anatoka hukohuko kwa bwana,unauliza majibu?
 
Mungu anakujua mwanadamu kabla hata hujazaliwa. Yeye ndie anaweza kukupa mke/mme mwema kwa vile ndie hasa akujuae leo na kesho.lakini hadi umwombe akutafutie,usipomwomba shetani atakutafutia,yeye shetani hasubiri karibu. Figure 8, sijui urembo,sijui nini vyote ni vitu vya kupita. Leo atakuwa hivi kesho anabadilika. Wema/tabia inayoendana nawewe ndio hubakia. Si rahisi wewe kuiona bali mungu anaweza .mtegemee yeye utaopoa bingo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom