Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,250
Reaction score
24,084
Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake?

Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu?

Ebu tuweni na akili kidogo tu kama kweli mke mwema anatoka kwa Bwana basi ni lazima atakuwa amejitunza na yuko full virginity tofauti na hapo acheni kujipa matumaini hewa yasiyo kuwepo duniani wala mbinguni.
 
Back
Top Bottom