Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
Wasalaam wana MMU,
Ukiwa wewe ni mtu mwenye ndoa yako unayoipenda na kuiheshimu,upo katika pilika zako za kuitafutia ugali familia yako uipendayo,na jioni ikawa imefika upo mahali umepumzika,unasikia mwanaume anasifia kwa umahiri usiomithilika kuwa, jamani mke wa mtu mtamu.
Potelea mbali mume wa mtu mtamu, sauti nyingine tokea upande wa kushoto wa meza uliyokaa.
Sasa embu tujadili,hii kauli ya chamtu kitamu ina abudiwa sana nikwanini hawa wanafikia hii hatua? Yale ya temeke yamekuwa hayana nguvu maana wanasema walinasiana kutokana na utamu kuzidi,ndo maana haikutoka.
Je nikweli hii kauli inapaswa kuabudiwa?
Ndo maana umaskini hauishi
Ndo maana umaskini hauishi
Mkuu naona unapotoshwa na hiyo maneno. Cha mtu mnato na sio kitamu. kama huamini jaribuWasalaam wana MMU,
Ukiwa wewe ni mtu mwenye ndoa yako unayoipenda na kuiheshimu,upo katika pilika zako za kuitafutia ugali familia yako uipendayo,na jioni ikawa imefika upo mahali umepumzika,unasikia mwanaume anasifia kwa umahiri usiomithilika kuwa, jamani mke wa mtu mtamu.
Potelea mbali mume wa mtu mtamu, sauti nyingine tokea upande wa kushoto wa meza uliyokaa.
Sasa embu tujadili,hii kauli ya chamtu kitamu ina abudiwa sana nikwanini hawa wanafikia hii hatua? Yale ya temeke yamekuwa hayana nguvu maana wanasema walinasiana kutokana na utamu kuzidi,ndo maana haikutoka.
Je nikweli hii kauli inapaswa kuabudiwa?
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.
Hahahaaa... Napata picha hayo madonda uliyonayo mwili mzima..
Si unajua madonda ya utamu hayaumi eee
Hahahaa... Yaani unanichekesha sana..!!
Sasa mwenzetu utadundwa mpaka lini jamani? Si mwisho watakuua binti wewe..!!
Uzuri wake ni kwamba wao wenyewe ndo hunipeleka hosptal.
Sasa wa peke yetu hatuwapati.
Tafanyaje jamani?
Heri tubanane.