Mke/mume wa mtandaoni.

Mke/mume wa mtandaoni.

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Nimesikia mengi kuhusu malalamiko ya wadau kadhaa wa mitandao ya kijamii juu ya kuhangaika na kutopata kile wakitafutacho kwa wenza wa mitandaoni. Mie naamini wapo ila ni km bahati nasibu. Na ndo maana na mm nimeamua kutuma karata yangu kwa mdada yeyote aliye SERIOUS na maisha ya ndoa aniPM tuelezane ya kujiri.

Sifa za mtarajiwa:
1. Miaka 20 - 26
2. Muislam
3. Aliye tayari kuwa kwenye maisha ya ndoa.
4. Rangi yeyote
5. Kabila lolote
6. Elimu kuanzia std7 na kuendelea(anaejua kusoma na kuandika)

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom