Mke muhaya hapana

Mke muhaya hapana

Status
Not open for further replies.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,850
Wahenga walisema "jasiri haachi asili" nimeishi sehemu mbalimbali nikichangamana na makabila tofauti wanawake wa kihaya ni wachafu kwa tabia na hawafai kuolewa.

Hawa watu hawaheshimu ndoa kabisa ni wachepukaji waliokubuhu na hii tabia sijui wanaambukizana tena ukute kaolewa na kabila lingine ndo atachepuka mpaka basi.
 
Si wote ni baadhi tu, wapo wengi sana tu wenye hofu ya Mungu waliompokea Yesu kama Bwana na Mokozi wa maisha yao. Kama amekutenda huyo wa kwako usidhani ni wote wako hivyo. Je na wewe ni msafi na una hofu ya Mungu?
 
Katika hali tunayoishi sasa usipende kukariri, unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga uhalo.
 
Wahenga walisema "jasiri haachi asili" nimeishi sehemu mbalimbali nikichangamana na makabila tofauti wanawake wa kihaya ni wachafu kwa tabia na hawafai kuolewa hawa watu hawaheshimu ndoa kabisa ni wachepukaji waliokubuhu na hii tabia sijui wanaambukizana tena ukute kaolewa na kabila lingine ndo atachepuka mpaka basi.

Ila ni watamu hao!! Huwezi kujilaumu kwa hilo
 
Jaman hivi bado kuna kujumuisha uovu wa mtu mmoja na kusema ni jamii nzima...?

Uhuni kwa nyakati hizi ni tabia ya mtu na malezi alikolelewa na sio kabila lake....
 
Yeah really...mwenyewe nimeshuhudia nilipokuwa xul enzi zile A-level videm vya kihaya ndo vilkuwa vinaongoza kwa kugawa mbunye kwa guyz....
 
Katoto kadogo lakini kanawanaume kibao,,kama kale ka imelda,,,ni noma,,,,ili kabila limezidi kwa michepuko,,,
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom