Mke msemakweli

Mke msemakweli

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,322
Reaction score
2,895
Mume alimuuliza mkewe, 'Mke wangu mpenzi hivi ushavunja uaminifu mara ngapi? MKE. 'siku moja nililala na mwenye nyumba kwasababu alikuwa anadai kodi' MUME'si mbaya sana'. MKE'mara ya pili siku ulipofanyiwa operation tukiwa hatuna pesa, ilibidi nilale na Doctor ili utibiwe'.MUME'kweli unanijali mke wangu'.MKE'mara ya tatu ni kile kipindi cha uchaguzi ulipokuwa unaomba kura ikabidi nilale na wapiga kura wako wote ili wakupigie kura'. MUME'tobaaa twende kwa babu ukapate kikombe FASTA.
 
teh..!teh! hi hi i
umeifanya asubuhi yangu bomba
 
Hahahaaa, nimeianza vyema siku kwa kicheko, hope nitafurahi siku nzima.
 
Daaaa!! Kali sana. Aisee wife anajali huyo mpka basi.! Hahahahaha!
 
Mume alimuuliza mkewe, 'Mke wangu mpenzi hivi ushavunja uaminifu mara ngapi? MKE. 'siku moja nililala na mwenye nyumba kwasababu alikuwa anadai kodi' MUME'si mbaya sana'. MKE'mara ya pili siku ulipofanyiwa operation tukiwa hatuna pesa, ilibidi nilale na Doctor ili utibiwe'.MUME'kweli unanijali mke wangu'.MKE'mara ya tatu ni kile kipindi cha uchaguzi ulipokuwa unaomba kura ikabidi nilale na wapiga kura wako wote ili wakupigie kura'. MUME'tobaaa twende kwa babu ukapate kikombe FASTA.

Great!!!!
 
sijaipenda wala nn, huyo si mke msema kweli ila ni muongo...haiwezekani alale na wapiga kura wote
 
mume alimuuliza mkewe, 'mke wangu mpenzi hivi ushavunja uaminifu mara ngapi? Mke. 'siku moja nililala na mwenye nyumba kwasababu alikuwa anadai kodi' mume'si mbaya sana'. Mke'mara ya pili siku ulipofanyiwa operation tukiwa hatuna pesa, ilibidi nilale na doctor ili utibiwe'.mume'kweli unanijali mke wangu'.mke'mara ya tatu ni kile kipindi cha uchaguzi ulipokuwa unaomba kura ikabidi nilale na wapiga kura wako wote ili wakupigie kura'. Mume'tobaaa twende kwa babu ukapate kikombe fasta.

tehe tehe,huyu my wife wake noma...
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sijaipenda wala nn, huyo si mke msema kweli ila ni muongo...haiwezekani alale na wapiga kura wote

Wewe ukisusa wenzio wanafurahia mkuu. Hii ni jokes tu.
 
heee nakubwa haya, yaani niwape kipochi manyoya changu wapiga kura? Watakudandia na kura hawatokupigia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom