Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
mkuu kwan mfalme hapendi vitu ya insta?
ha ha ha mkuu insta kumbe vinyuzi kushinei....sema wajua vinyuzi huwa vinaboa,vina kela mtu anajigeuza geuza geuza pasipo mpangilio mara subir mara hivi...naona naye kaona apige chini habari za kuchana nyuzi.mfalme anapenda vinyuzi akate mwenyewe,sasa huko insta hakunaga vinyuzi!!!teh teh teh!huwa kuna watu wanaokagua hawa wadada kama wana vinyuzi....sasa this time wamemuonea wivu wamempa used akaseme nae mbelembele akikuta kitu used unadhani atapiga mayowe??itabidi amezee tu!nasisistiza hii ni hukumu ya macho yangu tu sio lazima iwe kweli
Sisi hatupo ktk hiyo dunia ya kabla.Kabla ya Dini watu wali ishije?
ha ha ha mkuu insta kumbe vinyuzi kushinei....sema wajua vinyuzi huwa vinaboa,vina kela mtu anajigeuza geuza geuza pasipo mpangilio mara subir mara hivi...naona naye kaona apige chini habari za kuchana nyuzi.
Umetudanganya mkuu hii niliwahi ona kitambo sana
Hujanielewa ....hizi dini zitapita ...lakini MUngu atabakiSisi hatupo ktk hiyo dunia ya kabla.
Tupo ktk dunia yenye dini.
Sasa kama ww unataka tuisi kama kabla anza kuvua nguo utembee uchi kama zamani
Starehe ya dunia ni kuwa na mwanake bora,kama utawamudu we oa tuu