The Boss, unajua jinsi wanawake wa siku hizi walivyo! Yani jamaa anatamani amchape makofi ila nimemwambia itakuwa kujidhalilisha kama alishaongea na wazazi wa binti na bado haelewi, then kama hana furaha ya ndoa ampe hamsini zake akalewe vizuri.
Amuite amuweke kitako,areason kama baba mwenye nyumba,politely but with strong msg.amuambie kuazia leo sitaki ufanye Abcd na unatakiwa ufanye qrst.period.
kabla ya kutoa talaka
siku moja amchape makofi kweli na atoe amri marufuku kwenda popote leo
aone...
wanawake wengine 'bila makofi haoni kuwa yupo na mwanaume'
anaona yupo na shostito wake...
Ushauri wa kijinga! Akimchapa makofi akimpeleka mahakamani ujue atafungwa huyu mshikaji, kwani kumpiga mke ni shambulio ambalo ni kosa la jinai. Yeye cha kufanya aende kwa waliowasimamia ndoa au atafute watu anaoheshiana nao wawasuluhishe, ikishindikana watafute ndugu zao wanao heshimiana wawashauri, ikishindikana aende kanisani (kama ni waislamu waende kwa mashehe) wakawashauri, na ikishindikana pote, namshauri jamaa aende mahakamani ampe talaka ikiwa bado mapema!!kabla ya kutoa talaka
siku moja amchape makofi kweli na atoe amri marufuku kwenda popote leo
aone...
wanawake wengine 'bila makofi haoni kuwa yupo na mwanaume'
anaona yupo na shostito wake...
Huwezi jaribu kwenda chumvini japo mkewe ni mrembo ila anatabia mbaya. Pia huwezi jua hao 'friends' kama hawajapita hapo!
Ushauri wa kijinga! Akimchapa makofi akimpeleka mahakamani ujue atafungwa huyu mshikaji, kwani kumpiga mke ni shambulio ambalo ni kosa la jinai. Yeye cha kufanya aende kwa waliowasimamia ndoa au atafute watu anaoheshiana nao wawasuluhishe, ikishindikana watafute ndugu zao wanao heshimiana wawashauri, ikishindikana aende kanisana (kama ni waislamu waende kwa mashehe) wakawashauri, na ikishindikana pote, namshauri jamaa aende mahakamani ampe talaka ikiwa bado mapema!!
Aliapa kanisani siku ya ndoa yao kwa shida na raha,ndo shida zenyewe hizo..pole yake!
Wakati huyo mwanamke anaenda kili awards bila kumtaarifu mumewe, yeye mume nae alikuwa wapi?
Just like it takes two to tangle, maybe it takes the same two to untangle. Si ajabu mwanamke ana-respond kwa frustrations za mwanaume, just a second thought...
mmmh, umenikumbusha mama jafari lol
mke akishakuwa mpenda pombe jua keshakuwa cha wote, kuna mama jirani yangu lol, pombe zimekolea hadi akakimbia kwake na kwenda kuwa 'muuza vocha' machimboni.
Alianza hivi hivi.