Mke mkorofi

 
Pole sana ndugu yangu.. Sema wewe itakuwa unamatatizo. Huwezi kumchekea kwa swala la kuvunja vitu. Mwambie akanunue yeye alivyovunja. Kama inakuwa shida sana muolee mke mwingine atakuwa na adabu tu.

Akivunja tena mzabue makofi, uone kama atarudia. Kakuona wewe soft sana. Mapepo mengine jamani hayana haya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…