Mke mkorofi

Ukisoma yaliyoandikwa wengi wamekupa mtazamo mzuri sana embue jaribu baadhi kama kuongea na wazee wake au kumtimua lakini sio kumpa ushindi kila wakati au kutoa talaka.....
Wahenga wanasema maji ukiyavulia nguo?
 

Hilo ni pepo la ufilisi, umasikini na uharibifu. Zingatia maombi sana na hizo tabia itafika mahali ataziacha zote na kuzijutia. Akifikia hapo msamehe na umpende. Kuna mambo mengi yanayoweza kuchangia mtu kufikia hali hiyo.
 
Mtu mzima hawezi ku behave kama mtenda wazimu
Siku mlambe makofi na ummpe ultimatum mwambie hawezi vumilia utamwacha
 

Mpe talaka. Tafuta mwingine. After all, Hayatuhusu. This is your private business.
 
mmh! naona harufu ya pepo la ufilisi na uharibifu hapo.

Mwalimu naomba siku moja utoe mada/kitchen part kwa hawa dada zetu maana siku hizi ndan ya nyumba ni ubabe ubabe,hakuna mama wala baba,wenyewe wanasema hawatak kuwa submissive,yaan ni zaid ya kero!some men are not cheaters at first place,they are forced to cheat n nyumba ndogo kadhaa coz of kero kwa nyumba!kiukweli wadada wa siku hizi hawajui ndoa ni nin,wanaolewa as fashion,shule imewaharibu,na mama zao hawakuwafundisha jambo muhimu sana kwenye maisha yao (kuishi na mume na ku-behave as wife)...plz mwalimu hebu one day tushushie mistari,nafasi ya mama kwenye nyumba!
 

haya mkuu nitafanya hivyo.
 
Wanawake wengine mpaka wapate kipigo ndio warekebike. Akivunja kitu chochote mpe kofi, ngumi au teke uone kama hata badili tabia!
 
Pole kaka.
Mungu aniepushe na mwanamke wa namna hii kwa sababu ninavyojijua mimi, akimaliza tu kuvunja kitu na mimi navunja mkono apate utamu wa kuvunja.
Ila suluhisho lako ni la kiroho zaidi, shirikiana naye neno la Mungu haswa kuhusu nafasi ya mwanamke (Enyi wanawake watiini waume zenu...enyi waume wapendeni wake zenu).
Pili simama kwenye nafasi yako kama mwanaume,ni bora kuwa dictator kuliko kutumia demokrasia inayohatarisha usalama wako na maadili ya watoto.
 
tafuta siku moja akiwa na furaha mtoe out sehemu tulivu anza nae kumuuliza kwa taratibu na upendo wa hali ya juu nini haswa kinamtokea mpaka huwa na hasira za hivyo,mweleze hisia zako kuwa hupendi hio tabia na sasa utamsikiliza. Sasa akikuletea jeuri hapo eneo la out kinachofuata ni kumwambia unaenda home na atafute pa kulala siku hio,la sivyo utamwazibu
 
Yaani huyo akivunja tu vitu na wewe unamchapa sawa sawa vibao ataacha tu..na ww utasema ni hasira tu ya vitu vyako.

Wanawake wengine lzm uwapige ndio watakuheshimu

Je huyo mke wako anafanya kazi gani?..jeshini au kwenye ile mamlaka ya kuvunja vunja bidhaa feki?
 
kabla sijachangia nataka nijue wakati wa kamchezo ka baba na mama yukoje,
 

Ongea na mshenga wako mkae chini nyie wenyewe msortout mambo yenu ikishindikana shirikisha wazazi wako na wake ikishindikana mrudishe kwao akajifunze mwambie akishabadilika ndo atarudi
 
Kuna kusema prayer na kusali; ni vitu viwili tofauti! Anahitaji kufinguliwa (derivarance) huyo.

dada Kaunga kweli kunawanawake vichaa sana yaani kwenye akili yake au ndani ya moyo wake hana neno nnimekosa anachoamua ndicho anataka ufuate. Nilishakutana na mwanamke wa aina hiyo nilimpeleka kwa wazazi wake lakini hakuna nilipiga sikufua dafu ikafika nikamuachia Mungu ila naona kwa sasa kama amebadilika sana na muombea kila siku kwa Mungu azidi kumbadilisha. Ina unauma sana tena sana ila yote ndio mizingo yetu na ubavu wangu ndio huo siwezi kumuacha tuna watoto sasa kuachana watakao athirika ni watoto na wala sio sisi nilishafumba macho.
 
Ongea na mshenga wako mkae chini nyie wenyewe msortout mambo yenu ikishindikana shirikisha wazazi wako na wake ikishindikana mrudishe kwao akajifunze mwambie akishabadilika ndo atarudi

kuongea na wazazi wala sio suruhisho, kurudisha wala hakusaidii namsahuri yeye ajifanye mjinga tu na ombe sana kwa Mungu mke wangu alikuwa mkorofi hivyo hivyo ila kwa sasa alisha salenda yaani huwezi amini
 

haisaidii mimi nilikuwa napiga mpaka siku mmoja nikaona nitaua nililimwambia alipopona kuwa sitampiga tena na kweli sijawahi mpiga tena. Ila nilichoona ni kuachana naye akianza ubishi unaondoka hata kwenda kulala au kama sio hivyo unamkubalia anachosema tena yeye unampa majukumu yote. Ilifika sehemu akawa anang'ang'ania mshahara nikawa nampa afanye shooping ya matumizi ya mwezi lakini ikafika sehemu akakubali mimi matumizi yangu ni mazuri kuliko yake tangu siku hiyo huwa haulizii kuhusu mishahara akipata analeta tunaunganisha mimi ndie wakuongoza tufanye hiki na tuache kile. Kweli ninaendelea kumuombea kwa Mungu aendelee kutusaidia maana tulikuwa pambaya sana.
 
inategemea wakati mnaoana alikuwa hivyo? kama ni ndio basi nidivyo alivyo. kama hapana basi ujue kuna ka pepo kameingilia.
 

Ahsante kaka hapo ulitumia busara, nafikiri mimi niliongozwa na hasira kwenye hiyo comment. Wewe uko sahii zaidi ndugu ndo maana maandiko yanatuambia tuishi nao kwa akili kwani ni viumbe dhaifu.
 
Kwanza wewe mtoa mada ni dhaifu,pili mpeleke hospitali apimwe akili.
 
Jamani me nadhani kabla ya kumshauri mngemuuliza kwanza chanzo cha ugomvi ni nini! Mana nimesikitika mnachangia kitu ambacho hamjui ukweli wake.
Mm huwa naamini naweza kusolve matatizo yangu kwa kumshirikisha mungu kupitia maombi na wakati mwingine kupitia watu wenye busara km wazazi etc
Ningependa mjue haya machache; me ni mdada mwenye elimu yangu, kazi nzuri,nimeokoka na kikubwa zaidi nampenda sana mume wangu na watoto wangu na ndo
mana hadi leo navumilia kuhold hii ndoa japo kuna magumu mengi sana yasiyovumilika ninayopita na ni kweli last time alinifanyia kitu nikapata hasira nikajikuta nasukuma tv ikavunjika. Sasa km anataka ushauri wa kujenga ni vizuri awaeleze ukweli tabia zake ili mumshauri ipasavyo wakati mm naendelea kumuombea naamini bwana atafanya njia.
 
Unda tume ya kumchunguza beki tatu wenu, atakuwa anamchangania bange kwenye vegetables.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…