Mke malaya, nimfanyaje?

mkuu nunua panga jipya na tupa asubui ukiamka mtume akuletee unalinoa ukimaliza unampa arudishe ndani jioni ukirudi kutoka kazini unamtuma tena unanoa ukimaliza unampa arudishe ndani fanya hivyo week nzima alafu week inayokuja mwambia naenda kazini nikitudi nisikukute siku hio nakuambia hata hufiki kazini na yy hayupo ila chunga asije sepa na vitu vyote geto
 
We tangu umeoa huyo hujachepuka mkuu?na aliye msafi ampige mawe......kama jibu ni ndio.muache kama umewahi kaeni chini myajenge muonye
Kuchepuka ni swala moja, ila kwa namna mleta mada anavyo elezea ni kwamba huyo mwenzake hajutii kutenda hivyo.
 
Kesi kama Hizii unasikiaa Mtu kaua hata sishangaii...!! Yanii aiseee nkivaa uhusika wakoo tu napataa Hasiraaaa sana sijui ingekuwa ni mimi ingekuwaje
 
 
OK, kwa upande wa dini ya kiislam siwezi kusema. Maana sijui Quran inasemaje kuhusu situation kama hiyo. Lkn kwenye ukristo inaruhusiwa kumwacha mwanamke ambaye ni mzinzi, na si kwa sababu nyingine yoyote.
Mathayo 19:9
 
Huyo sio mke ila ni limwanamke limoja lishankurupepe ambalo halifai kabisa kuolewa hata kwa mahari ya bure, ndo umesharamba garasa hivyo, afadhali ndoa yako iwe ya kiislamu au boman unaweza ukampa talaka
 
Wanawake washenzi sana, mi naogopa kuoa kwa mambo km haya.
 
wachache wenye ufahamu wa namna hiyo wengi tunawaoa unakuta mtu kaficha mkucha yake.Kama huyu wangu hana wazazi wote washatangulia mbele ya haki alikua mpole lkn baada ya kua nae anajiona yuko sawa kupambana na mimi.Wanawake wengi ni 00000
Unajua hawa viumbe huwa hawana ule ufahamu wa kung'amua kuhusu maisha yajao. Hawezi kujiuliza kwamba kesho nitakuwa wapi? Je, hiki ninachofanya nikigundulika, nikafukuzwa huyo jamaa atanipokea? Wao wanajua wakipigiwa miruzi mingi na kutongozwa huko nje anajua anapendwa.
Mr. Kama unapanga kumsamehe na kurudiana naye. Mtimue kwanza hapo nyumbani tena mtishe aende kwa jamaa akaolewe naye (Najua hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kuoa mke wa mtu aliyetembea naye). Akienda huko mtaani atapigika zile huduma ulizokuwa unampa hatakosa. Hapo atajifunza lkn bila hivyo atabadili mbinu ya kugongwa na huyo jamaa.
 
Baba yangu mzazi aliwahi niambia "ni bora upambane na chui jangwani utajua namna ya kujitetea kuliko mwanamke chumbani".Ndugu yangu kabla hujageuzwa jina,ama kuharibiwa status ama maisha yako kwa namna yoyote MUACHE KABISA.mwanamke akisha mvulia chupi mwanaume mwingine huyo si wako tena,na wala usitegemee heshima,upendo wala amani ktk nyumba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…