Hongera mkuu umefanya vizurebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..
Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
Mi pia lazima nikague cm ya mke wangu,lazima nijue naish na mtu wa aina gani sio anajifanya ananipenda kumbe anampenda mwingine aende huko kwa ampendae.Mm napingana na ww. Bora umchunguze mwenzi wako hata kujua anafanya nn kuliko kutoshika simu.
Utakaa kimya mwisho utajikuta unaambukizwa ukimwi au unalea watoto si wako.
Mm lazima nishike simu, tena lazima. Wangapi walipendana sana wakaachana? Sembuse mm. Siwezi kumvumilia mwanamke malaya. Huyo wakufukuza akale alipopeleka mboga.
ETI TATIZO HATAKI KUONDOKA,HAPO NI KWAKO AU KWA MKE WAKO?,HEBU JIBU KWANZA HILI THEN NIKISHAULINimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
mkuu nguvu aijengi na aujui nani alikua anampa kibri ningetumia nguvu ningekua jela mkuu ila matatizo yasikie tu!ila waswahili wanasema ukijua hivi wengine wanajua hiviETI TATIZO HATAKI KUONDOKA,HAPO NI KWAKO AU KWA MKE WAKO?,HEBU JIBU KWANZA HILI THEN NIKISHAULI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mijitu mipumbavu sana yani mi niwe mnyonge? HapanaUshauri wa kipuuzi kabisa huu, hivi una ndoa wewe ama umeolewa?
Umeoa jini hilo, yaani mke wako ana makosa badala ya kutetemeka hadi kujikojolea ndio kwanza anaanza kukuuliza maswali kwanini umeshika simu yake...Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
Ulisolve vipi hili swala mzee..maana haya mambo ya mahusiano kila siku darasamkuu nguvu aijengi na aujui nani alikua anampa kibri ningetumia nguvu ningekua jela mkuu ila matatizo yasikie tu!ila waswahili wanasema ukijua hivi wengine wanajua hivi
Mkuu mwacheNimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
Nakuambia tulitumia digital kwakua njia ya kawada yulu jamaa ake alikua na pesa sasa kila nikijaribu nagonga mwamba ndio nikaanza kutafuata baadhi za shauri.ilibidi nimtafute mchumba wa yule jamaa na kumeleza kula kitu na nilivyompa picha yule mwanamke alibaini jambo na anamjua ila alitambulishwa kama dada wa jamaa hapo nikavuruga kwanza nyumba ya yule jamaa hilo nilifanikiwa kwa 100%.sasa jamaa nae baada ya kujua kua mie ndio nilie mlipua wakanichukulia rb nyingine nikawa nina rb 2 zote ni mipango yao.zingatia nakuelezea kwa ufupi tu.basi baada kujua hilo yule mtaalamu akaniambia unajua huyu jamaa anatuhumiwa kwa wizi huko kazini kwake ila wanamuogopa hapa la kufanya kuamsha kesi zote atavugikiwa kimaisha.yalifanyika hayo aikuchukua muda kesi zimeanza kufuka na kusimamishwa kazi na kuanza kuuza vyake lkn ngoma ngumu.ila yule mchumba wake huku mwishoni tukawa bega kwa bega
siko nae kwa sasa mkuu
Mi pia lazima nikague cm ya mke wangu,lazima nijue naish na mtu wa aina gani sio anajifanya ananipenda kumbe anampenda mwingine aende huko kwa ampendae.
tatizo lugha
Mpeleke baa.