Kule nchini Uganda wao wakigundua kama mtoto wao wa kiume hawezim kumtia mimba mkewe, basi wanateuwa mdogo wa mume au kaka wa mume ambaye yeye hafanyi makosa bila mwenye mke kuambiwa, kinachotakiwa, mke anaelezwa kila kitu na shangazi wa mume hivyo anaelewa somo,hivyo zle siku a hatr zikikaribia anatoa taarf kwa shangzi kisha mwenye mke anatengenezewa safari, akiondoka tu huyo ndugu yake aliyeteuliwa anamuingilia mke wa kaka yake hata kaka akirudi wanasiilizia kwa mwenzi mmoja mke akithibitisha amepata mimba inakuwa ni furaha ya familia.
Lakini hakutakuwa na uhusiano wa mapenzi na mtia mimba hadi pale itakapohitajika mimba nyingine, ndiyo zoezi hilo litafanyika.
Sijui kaka yangu Pasco hii imekaaje?
Hii nayo hatari maana humjuhi donor...unaweza uziwa sperm za jambazi...
Maana mwanaume mwenye akili zake kichwani hata maisha yawe magumu vipi hawezi kuuza mbegu...
Mkuu zinapoingia issue za watoto sio haki ya wahusika peke yao bali kuna haki ya mtoto.., sasa ukijua kabisa kwamba mtoto akipatikana kwa njia hii hawezi kupata mapenzi sawasawa kama yule aliyepatikana ndani ya wahusika wawili na huenda akachukiwa bila yeye kuwa na kosa.., basi anayeendekeza hili (awe mwanaume au mwanamke) ni kutokuwa considerate na hakuna blessing yoyote (sababu uwepo wake hauna baraka za wahusika wote)Kwa hiyo mke kupta mimba ya nje akiwa ndani ya ndoa, sio lazima iwe ni majanga, sometimes ni blessings!. Ila pia jamii zetu zimegubikwa sana na mfumo dume!. Sisi wanaume kila siku tunazaa nje ya ndoa and its usually not a big deal!. Lets be fair kwa wake zetu!. Thanks. Pasco
The Boss mbona mimi natoa sperm kusaidia wadada wanaotaka watoto, tena natoa bure na wala sihitaji kumjua mhusika, ananielekeza tu hospitali naenda nakamua na kumuchia watoto wake kisha nasepa zanguhakuna wala sio hivyo
kuna aina ya vidume 'vimebarikiwa; kupita uwezo wa kawaida
asipotoa mbegu anaweza hata kubaka
ndo haswa hawa wanakuwa 'encouraged ' wakauze sperms
maana sperms wanazo nyiingi na ni 'first class' sperms'
ni biologoical disoder hivi....watu aina hii ndo hadi mke anamruhusu akachepuke kupumzika na gwaride...
The Boss mbona mimi natoa sperm kusaidia wadada wanaotaka watoto, tena natoa bure na wala sihitaji kumjua mhusika, ananielekeza tu hospitali naenda nakamua na kumuchia watoto wake kisha nasepa zangu
nyumba kubwa kama unahitaji wasiliana nami tafadhali...............
Mkuu Keysser Soze, kwanza asante kwa mchango wako.Mkuu zinapoingia issue za watoto sio haki ya wahusika peke yao bali kuna haki ya mtoto.., sasa ukijua kabisa kwamba mtoto akipatikana kwa njia hii hawezi kupata mapenzi sawasawa kama yule aliyepatikana ndani ya wahusika wawili na huenda akachukiwa bila yeye kuwa na kosa.., basi anayeendekeza hili (awe mwanaume au mwanamke) ni kutokuwa considerate na hakuna blessing yoyote (sababu uwepo wake hauna baraka za wahusika wote)
Sasa Mkuu KeyserSoze, just imagine, scenario number 2 ndio imekukuta wewe, imetokea una tatizo linaitwa "low sperm count", mbegu zako zinakuwa weak, haziwezi kutoboa yai kulirutubisha!, umehangaika umeshindwa!, wife ananyooshewa kidole cha ugumba masimango na manyanyaso kibao toka kwa wazazi wako!, mara mke kashika!, kwako itakuwa ni furaha ilioje?!. Utathubutu hata kutaka kupima DNA wakati wife ndio amekufichia aibu yako?!, amini usiamini, hako katoto ndio kwanza katakuwa kipenzi cha baba?!. Mtoto huyo badala ya kuleta balaa ndio ataleta baraka na kukujengea heshima angalau na wewe kuitwa ni mwanamume!.Pasco
- Sababu kuu ya kwanza ambayo ndio maarufu zaidi ni kwa Wachagga wa zamani, wana kitu kinaitwa "curse" laana!. Ikitokea mkalaaniwa kizazi chote cha mfano cha Mkuu The Boss, ikitokea mkakorofishana na mtu (people with powers) akakulaani, then uko wako wote mnakuwa wiped out, one after the other within a specific period of time, mwisho wa siku, wore mtakwisha and there will be no trace ya jina la The Boss,at a survive!, kwa kulijua hili, wamama wa Kichagga wa enzi hizo, walikuwa wanafundishwa jinsi ya kuiba, na huyo unae iba nae unamchagua mtu anae fanania fanania na mmeo, ili dili isistukiwe!. Mwenye mtoto kamwe haambiwi, and no one will know zaidi ya mama, mara nyingi hutokea huyo mtoto aliyeibiwa kuja kuwa odd man out, au very bright, au kuwa na tabia za ajabu tofauti na wengine wote!. This was usually done in good faith!.
- Wizi wa pili ni pale Baba ana tatizo, hawezi kutengeneza watoto!, zamani ikiamini ugumba ni tatizo la mwanamke tuu, na kikawaida wanaume huwa hawapimi!. Mke kaolewa miaka inapita hashiki ujauzoto, anayelaumiwa, kunyooshewa vidole, kunyanyaswa na kusimangwa na mke! huku akitukanwa "mgumba" kazi yake ni kujaza tuu choo!. Mke anapimwa anaambiwa yuko normal, kumshauri mume akapime anaogopa kwa vile ugumba ni tatizo la mwanamke tuu!. Kitakachotokea kwenye familia hii, mume ataanza kuwa rude na kucheza rafu za wazi kusaka mtoto nje!. Hivyo anakuwa mipiga nje mzuri huku mke akivumilia kusubiria kuletewa watoto wa nje kulea!. Hili lisipotokea, mke au kwa kushauri na watu wa upande wake, au kwa her own initiatives, naye ataanza majaribio ya nje kwa siri, akinasa tuu, ataonyesha mapenzi ya ajabu kwa mumewe hata kama mume hataki tena game, atalazimishwa kisha mke atampa taarifa mume kuwa ameshika!. Itakuwa ni furaha kuu nyumbani, mume atafurahi na ndoa itashine!. In this case the "dume la mbegu huwa lina taarifa ni nini kilikuwa kinatafutwa", na usually ataendelea kutoa mbegu kwa watoto wengine wote wa huyo mhusika!. Kuna familia nyingine mume anapina na kujikuta hawezi kutengeneza watoto, ili kuepuka aibu ya hawezi, anamuweka mkewe kwenye very compromised situations za kupigwa nje ili siri isifichuke!, au koo serious wadogo mtu au kaka mtu wanashauriwa kumsaidia ndugu yao ili kumfichia siri na kuepuka aibu ya ukoo. Hapa mume atajua watoto sio wake ila atawapenda tuu kiunyonge unyonge!.
hakuna wala sio hivyo
kuna aina ya vidume 'vimebarikiwa; kupita uwezo wa kawaida
asipotoa mbegu anaweza hata kubaka
ndo haswa hawa wanakuwa 'encouraged ' wakauze sperms
maana sperms wanazo nyiingi na ni 'first class' sperms'
ni biologoical disoder hivi....watu aina hii ndo hadi mke anamruhusu akachepuke kupumzika na gwaride...
The Boss mbona mimi natoa sperm kusaidia wadada wanaotaka watoto, tena natoa bure na wala sihitaji kumjua mhusika, ananielekeza tu hospitali naenda nakamua na kumuchia watoto wake kisha nasepa zangu
nyumba kubwa kama unahitaji wasiliana nami tafadhali...............
Mkuu sio vema kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo...., inabidi ifike wakati tuone kwamba mtu kuwa tasa au mgumba ni mambo ambayo yapo wala hayaitaji kunyanyapaa.., ndio maana kuna mambo ya adoption n.k. ndio maana nikasema hapa kuna parties tatu zenye haki mume, mke na mtoto tena hapa naongezea yule baba aliyenyimwa mtoto wake, kwahio kwa kufanya hivyo ni ku-gamble kwamba baba mtu hatajua kitu ambacho kwa bahati mbaya akijua inaweza kupelekea mtoto kuchukiwaSasa Mkuu KeyserSoze, just imagine, scenario number 2 ndio imekukuta wewe, imetokea una tatizo linaitwa "low sperm count", mbegu zako zinakuwa weak, haziwezi kutoboa yai kulirutubisha!, umehangaika umeshindwa!, wife ananyooshewa kidole cha ugumba masimango na manyanyaso kibao toka kwa wazazi wako!, mara mke kashika!, kwako itakuwa ni furaha ilioje?!.
Ndio maana nikasema kuna mitazamo mingine ambayo imepitwa na wakati na haina maana.., kuwa tasa sidhani kama ni jambo la aibu na wala haiwezi ku-justify kufanya tendo ambalo linaweza kuwa majuto mbeleni au kumfanya mke nafsi imsute au kwa bahati mbaya siku anatoa damu inaonekana ni group ambalo linaanza kuleta maswali au kama wengi wanvyodhania masikio kuwa attached ni dominant kwahio mkipata mtoto mwenye masikio tofauti ndio mwanzo wa kuvunjika ndoa au kushikana uchawi..,Utathubutu hata kutaka kupima DNA wakati wife ndio amekufichia aibu yako?!, amini usiamini, hako katoto ndio kwanza katakuwa kipenzi cha baba?!. Mtoto huyo badala ya kuleta balaa ndio ataleta baraka na kukujengea heshima angalau na wewe kuitwa ni mwanamume!. Sasa hiyo ni balaa au baraka?!. Thanks. Pasco
hiii culture ipo pia kwa wazulu South Africa...
mdogo mtu anaweza kulala na mkeo huku we hujui.....naona na TZ ipo sana kwa baadhi ya kabila Dark City amewahi mention
Kitanda ni mahali bana usitake kuchakachua hapa, ndoa inasimama kama ilivyo, mfano wako wa pili ni nje kabisa ya concept
Kule nchini Uganda wao wakigundua kama mtoto wao wa kiume hawezim kumtia mimba mkewe, basi wanateuwa mdogo wa mume au kaka wa mume ambaye yeye hafanyi makosa bila mwenye mke kuambiwa, kinachotakiwa, mke anaelezwa kila kitu na shangazi wa mume hivyo anaelewa somo,hivyo zle siku a hatr zikikaribia anatoa taarf kwa shangzi kisha mwenye mke anatengenezewa safari, akiondoka tu huyo ndugu yake aliyeteuliwa anamuingilia mke wa kaka yake hata kaka akirudi wanasiilizia kwa mwenzi mmoja mke akithibitisha amepata mimba inakuwa ni furaha ya familia.
Lakini hakutakuwa na uhusiano wa mapenzi na mtia mimba hadi pale itakapohitajika mimba nyingine, ndiyo zoezi hilo litafanyika.
Sijui kaka yangu Pasco hii imekaaje?
Hakuna mimba ya bahati mbaya mkuu.usually hizi ni au za bahati mbaya
Sidhani kama hii ipo mpaka leo.Kule nchini Uganda wao wakigundua kama mtoto wao wa kiume hawezim kumtia mimba mkewe, basi wanateuwa mdogo wa mume au kaka wa mume ambaye yeye hafanyi makosa bila mwenye mke kuambiwa, kinachotakiwa, mke anaelezwa kila kitu na shangazi wa mume hivyo anaelewa somo,hivyo zle siku a hatr zikikaribia anatoa taarf kwa shangzi kisha mwenye mke anatengenezewa safari, akiondoka tu huyo ndugu yake aliyeteuliwa anamuingilia mke wa kaka yake hata kaka akirudi wanasiilizia kwa mwenzi mmoja mke akithibitisha amepata mimba inakuwa ni furaha ya familia.
Lakini hakutakuwa na uhusiano wa mapenzi na mtia mimba hadi pale itakapohitajika mimba nyingine, ndiyo zoezi hilo litafanyika.
Sijui kaka yangu Pasco hii imekaaje?
We acha tuu.Vijana wa siku hizi sidhani kama wana muda wa kuvumilia na kulea mitoto ya wengine. Ukitaka kujua nyakati zimebadilika waulize CCM wanavyopata shida kuwasoma vijana wa siku hizi.
Yani sijaelewa blessing kupitia tendo la zinaa?? Au???.sometimes ni blessings!.
Mimi kuna ndoa naijua Mama ndo anatatizo la uzazi tena nazijua mbili zipo church , ila waume zao hawajatoka nje kwenda kutafuta mtoto. Still wapo kwenye ndoa zao na wanaishi fresh sana tuu. Na wapo over 40 years kwa umri wao.Mkuu Keysser Soze, kwanza asante kwa mchango wako.
Naomba uzisome hizi two true life scenario halafu uniambie umeelewa nini?!.
Sasa Mkuu KeyserSoze, just imagine, scenario number 2 ndio imekukuta wewe, imetokea una tatizo linaitwa "low sperm count", mbegu zako zinakuwa weak, haziwezi kutoboa yai kulirutubisha!, umehangaika umeshindwa!, wife ananyooshewa kidole cha ugumba masimango na manyanyaso kibao toka kwa wazazi wako!, mara mke kashika!, kwako itakuwa ni furaha ilioje?!. Utathubutu hata kutaka kupima DNA wakati wife ndio amekufichia aibu yako?!, amini usiamini, hako katoto ndio kwanza katakuwa kipenzi cha baba?!. Mtoto huyo badala ya kuleta balaa ndio ataleta baraka na kukujengea heshima angalau na wewe kuitwa ni mwanamume!.
Sasa hiyo ni balaa au baraka?!.
Thanks.
Pasco
Umeona bro. Utasa si kitu cha aibu ila sisi tuu waafrica ndo shida.Mkuu sio vema kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo...., inabidi ifike wakati tuone kwamba mtu kuwa tasa au mgumba ni mambo ambayo yapo wala hayaitaji kunyanyapaa.., ndio maana kuna mambo ya adoption n.k. ndio maana nikasema hapa kuna parties tatu zenye haki mume, mke na mtoto tena hapa naongezea yule baba aliyenyimwa mtoto wake, kwahio kwa kufanya hivyo ni ku-gamble kwamba baba mtu hatajua kitu ambacho kwa bahati mbaya akijua inaweza kupelekea mtoto kuchukiwa Ndio maana nikasema kuna mitazamo mingine ambayo imepitwa na wakati na haina maana.., kuwa tasa sidhani kama ni jambo la aibu na wala haiwezi ku-justify kufanya tendo ambalo linaweza kuwa majuto mbeleni au kumfanya mke nafsi imsute au kwa bahati mbaya siku anatoa damu inaonekana ni group ambalo linaanza kuleta maswali au kama wengi wanvyodhania masikio kuwa attached ni dominant kwahio mkipata mtoto mwenye masikio tofauti ndio mwanzo wa kuvunjika ndoa au kushikana uchawi..,