Mke kuzaa nje ya ndoa

Hii nayo hatari maana humjuhi donor...unaweza uziwa sperm za jambazi...
Maana mwanaume mwenye akili zake kichwani hata maisha yawe magumu vipi hawezi kuuza mbegu...

Najaribu kuielewa hii thread lakini nashindwa, najaribu kumuelewa aliyeweka hii thread pia nashindwa...

Ngoja nisome tena kwa makini labda nitamuelewa...
 
Ndio unaanza kumlazimishia mume, ona vidole kama vyako.

Tububali tu, watoto hufanana na wazazi wao sana, hata gestures tu.

umenikumbusha hapa jirani kuna familia ya kipemba watoto wote weupe kasoro binti wa mwisho ana rangi ya kipekeee mama alipata misukosuko kutoka kwa mawifi lakini ndoa bado iko imara
 
Ila ukigundua mkeoa kazalishwa huwa inauma aisee...but well, that is life. Ni kujipa moyo na kusonga mbele
 
yaani kaka yangu Pasco nimesoma sana mada nzima imenibariki sana na hususani katika kipengele hichi ndo nimefurahisha zaidi huu mfumo dume unafanya maendeleo kuwa nyuma kabisa na kutunyima haki zetu sisi wanawake na hususani kuambiwa kila jambo baya tunafanya sisi kumbe wanaume ndo watu wanaochepuka sana.

nimepaste tu hapa:

Kwa hiyo mke kupta mimba ya nje akiwa ndani ya ndoa, sio lazima iwe ni majanga, sometimes ni blessings!. Ila pia jamii zetu zimegubikwa sana na mfumo dume!. Sisi wanaume kila siku tunazaa nje ya ndoa and its usually not a big deal!.
Lets be fair kwa wake zetu!.
 
Last edited by a moderator:
Hii nayo hatari maana humjuhi donor...unaweza uziwa sperm za jambazi...
Maana mwanaume mwenye akili zake kichwani hata maisha yawe magumu vipi hawezi kuuza mbegu...
Hivi kuuza mbegu na kupiga punyeto bora nini? halafu wanaume kuna uweyekano mkubwa tulipata watoto bila kujijuwa upo safarini mkapigana sound na demu ukala mzigo kavukavu siku ya tatu ukaondoka mkoa huo na zamani hatukuwa na simu kumbe huku nyuma demu uliyemla kavukavu ulimpa mimba bila nyinyi wote kujuwa, hii inasikitisha sana.
 
Vijana wa siku hizi sidhani kama wana muda wa kuvumilia na kulea mitoto ya wengine. Ukitaka kujua nyakati zimebadilika waulize CCM wanavyopata shida kuwasoma vijana wa siku hizi.
Nadhani 2015 Ccm itabidi hiajiri mshauri mwelekezi aweze kuwashauri hongo inayowafaha vijana wa leo, uenda wakaja na hongo ya tshirt za fubu, Nike na jeans na vipedo na mawigi ya wadada, maana hii mifulana yao ya kijani na njano kwa sasa inavaliwa na washirikina tu.
 
Mnazunguka tu mbuyu! WAHENGA WASHASEMA KITANDA HAKIZAI HARAMU! Sasa sijui ,mnanengeneka nini?
wahenga walikuwa shallow , hivi kama mtoto kapatikana kwenye seat ya gari, kwenye michongoma, porini,kwenye dawati la mwalimu, kwenye mti, ziwani, kwenye mtumbwi, beach au ukutani etc etc,
siku hivi mambo yako kidigital ndio maana watu wana HOJI, kuna watoto wa kitu cha WIMA WIMA, au mezani kwa bosi
 
wahenga walikuwa shallow , hivi kama mtoto kapatikana kwenye seat ya gari, kwenye michongoma, porini, beach au ukutani etc etc,
siku hivi mambo yako kidigital ndio maana watu wana HOJI, kuna watoto wa kitu cha WIMA WIMA, au mezani kwa bosi
Wewe ndio uko shallow unajuwa kuimba Bongo fleva tu, kitanda ni ndoa na unyumba ni kutiana.

Huwa unaelewa nini ukisikia kesi mke wangu ananinyima unyumba? au ulitaka waseme mke wangu ananinyima kumaaa?
 
Kitanda ni mahali bana usitake kuchakachua hapa, ndoa inasimama kama ilivyo, mfano wako wa pili ni nje kabisa ya concept
 
Najaribu kuielewa hii thread lakini nashindwa, najaribu kumuelewa aliyeweka hii thread pia nashindwa...

Ngoja nisome tena kwa makini labda nitamuelewa...

You'd be hard pressed to find any compos mentis homo sapiens who'd countenance to such!
 
Hahahahaa.. Nape achukue huu ushauri. Tena aupe uzito uliotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…